State House Blog

Tamasha la Michezo Pemba

  • Wanamichezo wa vikundi mbali mbali wakimsikiliza   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutua yake  wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo   lililofanyika kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chakechake    Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023
  • Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Cheti Mwakilishi wa Kikundi cha mazoezi cha IFM cha Dar es Salaam Ndg,Bin Rashid,wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo  lililofanyika kisiwani Pemba,Uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023
  • Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Cheti Mwakilishi wa Kikundi cha mazoezi cha Zoni A Wilaya Mjini, Khamis Iddi Mohamed,wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo  lililofanyika kisiwani Pemba, Uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitoa hutua yake  wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika leo kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chake chake  Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitoa hutua yake  wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chake chake    Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar(kushoto) Mke wa Rais wa Zanziar Mama Mariam Mwinyi,akifuatia Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe.Taia Maulid Mwita 01/01/2023.
  • Wanamichezo wa vikundi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutua yake  wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chake chake    Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023.
  • Baadhi ya Vikundi vya mazoezi vikipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi (hawayupo pichani) wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo  lililofanyika leo kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chakechake   Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023
  • Baadhi ya Vikundi vya mazoezi vikipita mbele ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi (hawayupo pichani) wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo  lililofanyika leo kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chake chake    Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023
  • Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea maandamano ya Vikundi mbali mbali vya mazoezi   wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo  lililofanyika leo kisiwani Pemba,Uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023. 
  • Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea maandamano ya Vikundi mbali mbali vya mazoezi   wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo   lililofanyika kisiwani Pemba, Uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023. 
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakinyoosha Viungo katika baada ya matembezi ya Tamasha la Bonanza la michezo yaliyofanyika kisiwani Pemba Wilaya ya Chakechake   Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakinyoosha Viungo katika baada ya matembezi ya Tamasha la Bonanza la michezo yaliyofanyika kisiwani Pemba Wilaya ya Chakechake Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza matembezi wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo yaliyo wajumuisha Viongozi mbali mbali na Vikundi vya mazoezi kuanzia Tibirinzi mpaka Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza matembezi wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo yaliyo wajumuisha Viongozi mbali mbali na Vikundi vya mazoezi kuanzia Tibirinzi mpaka Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipowasili katika Masjid AL Swafaa Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi kwa kushiriki katika ibada ya Swala

Maadhimisho ya Siku ya Shukurani na Furaha kwa mlipakodi.

Rais wa Zanzibar ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (Suza) amewatunuku wahitimu wa Mahafali ya 18 Suza.

DK.MWINYI,AMFARIJI MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA