State House Blog

Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi amewaongoza wanamichezo na vikundi vya mazoezi ya viungo katika viwanja vya Mpira Dole Unguja.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union kutoka nchini Misri Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA leo tarehe   8-9-2022 Ikulu mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Seriikali Tanzania Be.Charles Kichere Ikulu

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na wahariri wa vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari Ikulu Zanzibar.