State House Blog

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi amewasili kisiwani Pemba 17 Disemba,2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya CD ya Utenzi na Nyimbo za kupiga vita Rushwa na Uhujumu wa Uchumi.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amehutubia Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Zanzibar.

Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) imepokea vifaa vya Uvuvi.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida Ikulu Zanzibar.