State House Blog

Rais wa Zanzbar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & Spa Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wafanyakazi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja leo 16-8-2025 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hamida Mussa Khamis na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi.Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar , kwa ajili ya ufunguzi wa hoteli hiyo iliyoko katika Mkoa wa Kusini Unguja katika Kikjiji cha Kikungwi, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • WANANCHI wa Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Unguja ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
  • WANANCHI wa Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Unguja ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • VIJANA wa Kikundi cha uhamasishaji wakishangilia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, wakati wa ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli hiyo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea Hoteli ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, baada ya kuifungua leo 16-8-2025, iliyoko katika kijiji cha kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Hoteli ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, baada ya kuifungua leo 16-8-2025, iliyoko katika kijiji cha kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja
  • WANANCHI wa Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Unguja ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Hoteli ya Kitali ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Hoteli ya Kitali ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025.

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Uongozi wa Al Madrasat Swifat Nabawiyatil Msolopa Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mwalimu Mkuu wa Al Madrasat Swifat Nabawiyatil Karimah (Msolopa) Zanzibar. Ustadh Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo na Uongozi huo na (kulia kwa Rais) Mlezi wa Jumuiya ya Zawiya Kadiria Tanzania Sayyid Othman Abdulkadir Othman.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Al Madrasat Swifat Nabawiyatil Karimah (Msolopa) baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-8-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Al Madrasat Swifat Nabawiyati Karimah (Msolopa) ukiongozwa na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiya Kadiria Tanzania Sayyid Othman Abdulkadir Othman (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-8-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Al Madrasat Swifat Nabawiyati Karimah (Msolopa) ukiongozwa na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiya Kadiria Tanzania Sayyid Othman Abdulkadir Othman (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-8-2025

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuiya na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Ijumaa na Dua Maalumu ya Kuimombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na Dua Maalumu ya kuiombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, iliyofanyika katika Masjid Shaafi Mbuyu Mnene Wilaya Magharibi “B” Unguja leo 15-8-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na Dua Maalumu ya kuiombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, iliyofanyika katika Masjid Shaafi Mbuyu Mnene Wilaya Magharibi “B” Unguja leo 15-8-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na Dua Maalumu ya kuiombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, iliyofanyika katika Masjid Shaafi Mbuyu Mnene Wilaya Magharibi “B” Unguja leo 15-8-2025
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na Dua Maalumu ya kuiombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, iliyofanyika katika Masjid Shaafi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 15-8-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Dini na Wananchi katika kuitikia dua, ikisomwa baada ya kumalizika kwa Dua maalumu ya kuiombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, iliyofanyika katika Masjid Shaafi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 15-8-2025 na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kaabi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Dkt. Haroun Ali Suleiman na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali

Taarab Rasmi na Chakula Ikulu.

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Ranzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi baada ya kumaliza kwa hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiagana na Makamo wa Rais wa Burundi Mhe.Prosper Bozombaza wakati wa kumalizika kwa Hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Kikunchi cha Taarab cha Taifa cha Muzicul Club wakitumbiiza Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifuatana na Viongozi wengine wakienda kutunza wakati Vikundi vya Taarab vilipotumbiza jana Ikulu katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Baadhi ya Viongozi na waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla (wa pili kushoto) Makamo Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe.Abdulrahman Kinana (kushoto) Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Doto Biteko na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman wakiwa katika hafla ya Taarab rasmi na chakula cha Usiku katika viwanja vya Ikulu jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Baadhi ya Viongozi na waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Rais wa Ranzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa mgeni wa heshma katika Hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan na Makamo wa Rais wa Burundi Mhe.Prosper Bozombaza.

Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono maelfu ya wananchi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono maelfu ya wananchi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikagua Gwaride la Heshma la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar, ambapo Viongozi mbali mbali wa Kimataifa walihudhuria.
  • Kikosi FFU cha Jeshi la Polisi wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
  • Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyiakiwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.
  • Viongozi mbali mbali wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • Viongozi mbali mbali wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • Vijana wa Chipukizi wakibeba Picha ya Rais wa Kwanza wa ZanzibAR mAREHEMU mZRR aBEID aMANI kARUME WAKATI WA kILELERais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikagua Gwaride la Heshma la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
  • Kikosi cha Magereza wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
  • Wazee wa Miaka 60 ya Mapinduzi wakiimba wimbo maalum na kurusha Njiwa katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
  • Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole katika sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
  • Kikosi cha Jeshi la Polisi Wananwake wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole katika sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
  • Kikundi cha Brass Band cha Chipukizi wakiongoza maandamano ya Wananchi na Taasisi mbali mbali katika kusherehekea maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
  • Wafanyakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto wakipita mbe ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati wa Maandamano ya Wananchi na Taasisi mbali mbali katika kusherehekea maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
  • Vijana wa Chipukizi wakibeba Picha za Marais Wastaafu wa Zanzibar wa Awamu zilizopita katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
  • Vijana wa Chipukizi wakibeba Picha ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume pamoja na Bendera katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar