State House Blog

Utiaji Sain Mkataba wa Mafuta na Gesi asilia.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh Saud bin Saqr Al Qasimi wakati alipofanya ziara ya kuitembela Zanzibar mara alipofika katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar kushuhudia utiaji wa saini mkataba wa mgawanyo wa uzalishaji wa mafuta na Gesi asilia(PSA) baina ya Serikali ya Mapinduzi na Rakgas
  • Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Rakgas L.L.C ya Ras Al Khaimah Bw.Kamal Mohamed Ataya(kulia) Waziri wa ardhi, Maji,Nishati na Makazi Mhe.Salama Aboud Talib (katikati) Mkurugenzi Katika Kampuni ya Maendeleo ya Mafuta Zanzibar (ZPDC)Nd,Mwanamkaa Abdulrahman Mohamed wakitia saini mkataba wa mgawanyo wa uzalishaji wa mafuta na Gesi asilia(PSA) baina ya Serikali ya Mapinduzi na Rakgas sherehe iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na ujumbe wa Mratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) hapa Zanzibar Bibi.Dorothy Temu-Usiri  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na ujumbe wa Mratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) hapa Zanzibar Bibi.Dorothy Temu-Usiri walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh Saud bin Saqr  Al  Qasimi wakati   alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kabla ya kuondoka nchi akimaliza ziara yake akiwa na ujRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh Saud bin Saqr Al Qasimi wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kabla ya kuondoka nchi akimaliza ziara yake akiwa na uj
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtawala wa Ras Al Khaimah Sheikh. Saud Bin Saqr Al Qasim, wakati wa hafla ya utiaji wa Saini ya Mkataba wa Mgawano wa Uzalishaji wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya sherehe ya Utiaji wa Saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Uzalishaji wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar.iliofanyika katika hafla ya viwanja vya Ikulu Zanzibar
  • MTAWALA wa Ras Al Khaimah Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasim akizungumza wakati wahafla ya Utiaji wa Saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Uzalishaji wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar , iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mtawala wa Ras Al Khaimah Sheikh. Saud Bin Saqr Al Qasim, wakishuhudia hafla ya utiliaji wa Saini Mkataba wa Mgawanyo wa Uzalishaji wa Mafuta na Gesi Asilia (PSA) Wakitia saini Waziri wa Ardhi Maji Mazingira na Maakazi Zanzibar Mhe. Salama Aboud Talib katikati na kulia Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Maendeleo ya Mafuta Zanzibar,Bi. Mwanamkaa Abdulrahman Mohammed,Mkurugenzi Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa RakGas Mr.Kamal Mohammed Ataya, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
  • MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Balozi wa UAE Nchini Tanzania Balozi Mohammed Al Hammad, wakifuatilia hafla hiyo katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
  • KATIBU Mkuu Wizara Ardhi Maji Nishati na Makaazi, akitowa maelezo ya Kitaalum ya Mradi wa Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia wakati wa hafla ya utiaji wa Saini katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hafla ya Utiaji wa Saini ya Mkataba wa Mgao wa Uzalishaji wa Mafuta na Gesi Asili baina ya SMZ na Kampuni ya Rakgas ya Ras Al Khaimah.
  • BAADHI ya Viongozi wa Utawala wa Serikali ya Ras Al Khaimah wakifuatilia hafla hiyo ya utiaji wa Saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Uzalishaji wa Mafuta na Gesi Asili Zanzibar. hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar

Maonyesho ya Utalii Zanzibar Hoteli ya Verde Mtoni.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dkt. Abdallah Mohammed Juma, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Kitalii ya Verde Mtoni Zanzibar, kwa ajili ya ufungaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar wakihudhuria hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar
  • WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar yaliofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuyafunga maonesho hayo
  • BAADHI ya Washiriki wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar kutoka Sekta ya Utalii wa Ndani ya Zanzibar na kutoka Nje wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiyafunga maonesho hayo yaliofanyika katika Hoteli ya Kitalii ya Verde Mtoni Zanzibar
  • WASANII wa Kikundi cha Siti Bendi wakitowa burudani katika hafla hiyo ya ufungaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakifuatilia burudani ya Kikundi cha Siti Bendi wakitowa burudani wakati wa hafla hiyo ya ufungaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar, katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, baada ya kumalizika hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar yaliofanyika katika Hoteli ya Kitalii Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberia Ali Maulid wakiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa Tunzo za Utalii Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Tunzo ya Ushindi wa Hoteli Bora (Best Branded Hotel) Meneja Mkuu wa Hoteli ya Kitalii ya Park Hyyat Mr. Nicolas Cherdo, wakati wa ufungaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar yaliofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kutoa pongeze zake kwa Washiriki wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar, wakati wa hafla ya kuyafunga maonesho hayo yaliofanyika katika Hoteli ya Kitalii ya Verde Mtoni Zanzibar na kuwashirikisha Wadau wa Utalii kutaka Nchini na Nje ya Nchi, ufungaji huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo ya Verde Mtoni

Ufunguzi wa Maonyesho ya Utalii Zanzibar Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar kuhudhuria hafla ya Ufunguzi wa Maoonesho ya Utalii Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Maonesho ya Utalii Zanzibar, katikati Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Afisa Habari na Uhusiano wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ndg. Amour Mtumwa Ali alipotembelea banda la Maoneshi la Kamisheni ya Utalii wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Utalii Zanzibar yaliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, wakielekea katika mabanda ya maonesho baada ya kuwasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maoneshi ya Kitalii Zanzibar kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, kufungua maonesho hayo yaliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti cha Maalum kwa Mchango wake katika Sekta ya Utalii Zanzibar Mfanyabiashara Ndg. Said Salim Bakhressa, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Utalii Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Maalum cha Kuchangia Utalii wa Zanzibar Mfanyabiashara wa Makampuni ya VIGOR Ndg. Salim Tofiq Turky.
  • BAADHI ya waalikwa katika ufunguzi wa Maonesho ya Utalii Zanzibar yaliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika ufunguzi huo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwakilishi wa Kikundi cha JULUKIZA Ndg. Ali Bakari akitowa maelezo ya vitu vya mbalimbali vya Asili wakati akitembelea Maonesho ya Utalii yaliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti cha Maalum cha Kuutangaza Utalii wa Zanzibar Nje Ndg Walid Fikirini, wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Utalii Zanzibar katika viwanja vya Hotel Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Afisa Mauzi wa Shirika la Ndege la Ethiopian alipokuwa akitembelea maonesho hayo yaliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Utalii Zanzibar,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua Maonesho hayo katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kitalii Zanzibar yaliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar na kuhudhuriwa na Makampuni mbalimbali ya Kitalii ya nje na ndani ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Utalii Zanzibar yanayofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kitalii Zanzibar yaliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar na kuhudhuriwa na Makampuni mbalimbali ya Kitalii ya nje na ndani ya Zanzibar.

Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru Jijini Tanga.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Muhagama wakati alipowasili katika Uwanja wa Tangamano kutembelea mabanda mbali mbali ya maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) akifuatana na Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Muhagama wakati alipowasili katika Uwanja wa Tangamano kutembelea mabanda mbali mbali ya maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein akipokea Mwenge wa Uhuru Kitaifa kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Nd,Charles Francis Kabeho katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa,Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akimsikiliza Nd,Sakum Issa Ameir katika Banda la Vijana kutoka Baraza la Vijana Zanzibar katika maonesho maalum ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika katika uwanja wa Tangamano Jijini Tanga,sambamba na sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga
  • Baadhi ya wananchi wa Mkoani Tanga wakiwa katika Uwanja wa Mkwakwani katika sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika leo katika Jiji la Tanga
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa,Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Dk.Pancras M.S.Bujulu (VETA) wakati alipokuwa akiangalia gari alilotumia Mwalimu Nyerere katika harakati za kupigania Uhuru katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Tangamano sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akiuliza suala kwa Mtaalam wa Mtandao David Senkoro wakati alipotembelea banda la Vijana wa CCM Tanga katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Tangamano samba mba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) akimsikiliza Vicky P.Bishubo kutoka NMB Bank wakati alipotembelea banda la Benki hiyo katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Tangamano sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Say Charles wakati alipotembelea banda la Vijana wabunifu wa mambo mbali mbali katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Tangamano sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Nd,Edgar Atubonekisye Mwandemani wakati alipotembelea banda la Taasisi ya Mwalimu Nyerere katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Tangamano sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Nuru Zaphenia wakati alipotembelea banda la Vijana wabunifu wa mambo mbali mbali katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Tangamano sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga.
  • Vijana wa halaiki wakionesha mitindo yao katika sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na na Wiki ya Vijana Kitaifa zilizofanyika leo katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga.
  • 095957//// Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Nd,Habibu Mohamed Mfugaji wa Kuku aina ya Silk kutoka Nchini India wenye thamani kubwa wakati alipokuwa akitembelea maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Tangamano sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga.
  • Baadhi ya wananchi wa Mkoani Tanga wakiwa katika Uwanja wa Mkwakwani katika sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika katika Jiji la Tanga.
  • Baadhi ya wananchi wa Mkoani Tanga wakiwa katika Uwanja wa Mkwakwani katika sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika leo katika Jiji la Tanga.

Ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuia ya Madola Barani Afrika.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed SheiN akibadilishana mawazo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Maspika kutoka Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Madola Mhe.Job Ndugai wakati alipoongoza ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Barani Afrika walipofika Ikulu Mjini Zanziobar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed SheiN akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Rwanda Mhe.Edda Mukabagwiza akiwa miongoni mwa ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Barani Afrika walipofika Ikulu Mjini Zanziobar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaoongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Maspika kutoka Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Madola Mhe.Job Ndugai (wa pili kulia),walipofika Ikulu Mjini Zanziobar