DUA MAALUM YA KUOMBEWA RAIS WA ZANZIBAR,MASJID MUSHAWWAR MJINI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Viongozi mbali mbali mara baada ya Dua Maalum aliyoombewa leo katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa, iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakati ya Dua Maalum aliyoombewa leo katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa,dua iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa nne kulia) wakati wa kuhikisha Dua Maalum aliyoombewa katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa, iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiitikia Dua Maalum aliyoombewa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi leo katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa, iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA VIWANJA VYA NJE YA UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi wa ujenzi wa Viwanja vya nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar (kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN inayojenga Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar. Bw. Ilhan Karadeniz, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
BAADHI ya Wafanyakazi wa Kampuni ya ORKUN inayojenga Uwanja wa Amaan Zanzibar na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
WATOTO wa Kikundi cha Mchezo wa Karate cha Island Warriors Zanzibar wakionesha umahiri wa mchezo huo wakati wa uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na kuwapongeza Wanafunzi wa Skuli ya Jangombe Unguja Fadhila Ibrahim na Sharifa Somea, baada ya kumaliza kutowa burudani ya Ngoma ya Kunguwia, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN inayojenga uwanja huo Bw. Ilhan Karadeniz, wakati akitembelea Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN inayojenga uwanja huo Bw. Ilhan Karadeniz, wakati akitembelea kiwanja cha ndani cha michezo wa mpira wa Kikapu katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN inayojenga uwanja huo Bw. Ilhan Karadeniz, wakati akitembelea Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Viongozi mbalimbali, alipowasili katika Uwanja wa Amaan kwa ajili ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa viwanja vya nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Nchini Bw.Shigeki Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania Bw.Shigeki Komatsubara, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania Bw.Shigeki Komatsubara (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)Nchini Tanzania Bw.Shigeki Komatsubara, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania Bw. Shigeki Komatsubara , alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 14-12-2023
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Rais wa Taasisi ya YTB ya Uturuki.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (YTB) ukiongozwa na Rais wa taasisi hiyo Bw. Abdullah Eren (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (TYB) kutoka Wizara ya Utamaduni na Utalii inayoshughulikia Mambo ya Nje (kulia kwa Rais) Bw. Abdullah Eren na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (TYB) kutoka Wizara ya Utamaduni na Utalii inayoshughulikia Mambo ya Nje (kulia kwa Rais) Bw. Abdullah Eren na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania.Bw. Martin Seychell, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw.Martin Seychell (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania. Martin Seychell alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023, kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw.Martin Seychell, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw.Martin Seychell (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw. Martin Seychell, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023