State House Blog

Dk.Shein afungua maonesho ya Kilimo ya Nanenane Viwanja vya Chamanangwe Pemba.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwapungia mkono Wananchi waliofika katika ufunguzi wa Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea mabanda ya Maonesho ya Kilimo ya Nanenane,(kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Bi. Maryam Juma Mabodi, baada ya kuyafungua rasmin leo katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa ameshika mfuko ukiwa na Unga wa Shelisheli, wakati akitembelea banda la maonesho la Jumuiya ya Usarivu Mazao Zanzibar katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Afisa Kilimo Pemba Ndg. Amour Juma, akitowa maelezo ya Kilimo Darasa, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Idara ya Uvuvi Pemba Bi. Hidaya Khamis, akitowa maelezo jinsi ya ufugaji wa Kamba, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane, baada ya kuyafungua rasmin leo 6/8/2020 katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Idara ya Uvuvi Pemba Bi. Hidaya Khamis, akitowa maelezo jinsi ya ufugaji wa Pweza, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane, baada ya kuyafungua rasmin leo 6/8/2020 katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia na kufurahia akiwa na nyundo na kijembe wakati alipotembelea banda la maionesho la Chuo Cha Mafunzo Zanzibar,wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu)
  • WANANCHI wa Mikoa Miwili ya Pemba wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akihutubia na kuyafungua maonesho hayo.
  • WANANCHI wa Mikoa Miwili ya Pemba wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akihutubia na kuyafungua maonesho hay oleo
  • WASANII wa Kikundi Taarab cha Wajelajela wakitowa burudani wakiimba wimbo maalum wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayifanyuika katika Uwanja wa Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam Juma Sadala (Mabodi) akitowa maelezo ya Kitaalam wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Manenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba
  • WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) maonesho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika Viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba

Rais wa Zanzibar Dk.Shein amefungua Hoteli ya ZSSF Mkoani Hoteli.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF. Bi. Sabra Issa akitowa maelezo baada ya ufunguzi wa Hoteli ya Mkoani Pemba, uliofanyika leo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea vyumba vya Hoteli ya Mkoani Pemba iliofanyika Ukarabati Mkubwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) akjipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa ZSSF Bi. Sabra Issa, hafla hiyo ya ufunguzi imefanyika leo 5/8/2020.
  • WAFANYAKAZI wa ZSSF wakishangilia wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Hoteli ya Mkoani Pemba baada ya kumalizika kwa ukarabati wake.
  • WANANCHI Kisiwani Pemba wakifuatilia hafla ya mkutano wa ufunguzi wa Hoteli ya Mkoani Pemba baada ya kumalizika kwa ukarabati wake mkubwa uliofanywa na ZSSF, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akiwahutubia katika uwanja wa zimamoto mkoani Pemba leo 5/8/2020.
  • MUONEKANO wa Hoteli ya Mkoani Pemba iliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
  • WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Mkoani Pemba leo 5/8/2020.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Mkoani wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Hoteli ya Mkoani Pemba uliofanyika leo 5/8/2020, mkutano huo umefanyika katika uwanja wa zimamoto Mkoani Pemba

Dk.Shein amefungua maonyesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wakulima Nane Nane Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea zawadi ya Ndizi na Mayai kutoka kwa Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Ali Abdalla Ali mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho ya kilimo na ufugaji kwa Chuo hicho wakti wa maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • WANANCHI wakifuatrilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Wakulima Nanenane wakati wa ufunguzi huo uliofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi”B” Unguja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani ) akihutubia katika hafla hiyo.
  • WANANCHI wakifuatrilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Wakulima Nanenane wakati wa ufunguzi huo uliofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi”B” Unguja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani ) akihutubia katika hafla hiyo.
  • WANANCHI wakifuatrilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Wakulima Nanenane wakati wa ufunguzi huo uliofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi”B” Unguja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani ) akihutubia katika hafla hiyo.
  • WANANCHI wakifuatrilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Wakulima Nanenane wakati wa ufunguzi huo uliofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi”B” Unguja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani ) akihutubia katika hafla hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kufungua maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ,pia Kaimu Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Haji Omar Kheir.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Dkt.Kassim Gharib (kushoto) wakati wa kutembelea mabanda ya maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, (wa tatu kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili, Mifugo na Uvuvi Nd,Marium Abdalaa Saadala,
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ,pia Kaimu Waziri wa Kilimo, Maliasili ,Mifugo na Uvuvi Mhe.Haji Omar Kheir mara baada ya kufungua kufungua maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(wa pili kulia) Naibu Waziri wa Kilimo,Maliasili, Mifugo na Uvuvi Dkt.Makame Ali Ussi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiuliza suala kwa Kamanda wa JKU Staff Sajent Msheba Ussi Msheba wakati alipotembelea Mabanda ya Maonesho ya jeshi hilo katika kilelele cha Siku ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,akiwepo na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi(kulia ka Rais)
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kilimo katika Jeshi la Kujenga Uchumi JKU Kanali Jabir Saleh Simba wakati alipotembelea Mabanda ya Maonesho ya jeshi hilo katika kilelele cha Siku ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ,pia Kaimu Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Haji Omar Kheir.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Uvivi Zanzibar ZAFICO Nd,Zahran Kassim alipotembelea Mabanda mbali mbali ya Maonesho katika kilelele cha Siku ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(wa pili kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Nd,Marium Abdalaa Saadala
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkuu wa Kilimo JKU Kanali Jabir Saleh Simba, wakati akitembelera maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wakulima Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akitembelea mabanda ya Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wakulima ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wiliya ya Magharibi “B” Unguja, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud Mohammed na (kulia kwa Rais) Profesa Saleh Idrissa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia moja ya Ndoana inayotumika katika Uvuvi wa Bahari Kuu wakati akitembelera banda la maonesho la Kampuni ya Uvuvci Zanzibar (ZAFICO) wakati wa Ufunguzi wa Siku ya Wakulima Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Kizimambini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja NA (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar.Mhe Hamad Rashid Mohammed na Baharani wa Kampuni ya Uvuvi Zanzibar Ndg. Said Mwalim.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Bahari wa Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO) Ndg. Said Mwalim akitowa maelezo ya aina ya mishipi wanayotumia katika uvuvi wa Bahari Kuu, wakati akitembelea maonesho ya Siku ya Wakulima Nanenane yanayofanyika katika viwanj vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,(kushoto kwa Rais ) Mkurugenzi Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO) Ndg. Zahran Kassim El- Kharousy.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wakulima Nanenane, yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja (kulia kwa Rais ni Kaimu Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Haji Omar Kheri na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Ufundi Wakala wa Serikali Huduma za Matreka na Kilimo Zanzibar Ndg. Mohammed Omar Mohammed na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasiliu Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam Juma Sadala Mabodi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi katika hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Wakulima Zanzibar, yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Alhajj Dk Shein amelihutubia Baraza La Eid Alhajj Bumbwini

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein akielekea katika eneo maalum lililoandaliwa Gwaride maalum la FFU kwa ajili ya kupokea Salamu ya heshima baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja kuhudhuria Baraza la Eid Alhhaj
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Zanzibar katika Baraza la Eid Alhajj lililofanyika Kitaifa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika ukumbi wa Mitihani Skuli ya Bumbwini
  • WAZIRI wa Sheria na Katiba Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein,kulihutubia Baraza la Eid Alhajj lililofanyika katika ukumbi wa Mitihani Skuli ya Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambae pia ni Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi, wakifurahia jambo baada ya kumalizika kwa hafla ya Baraza la Eid Alhajj lililofanyika katika ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Sekondari Mahonda.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein akipokea Salamu ya heshima kutoka katika Gwaride Maalum la Kikosi cha FFU, iliofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.

ALHAJJ DK. ALI MOHAMED SHEIN AJUMUIKA NA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA SALA YA EID ALHA

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe AlhajjDk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibarkat ika Ibada ya Sala ya Eid Alhajj iliofanyika katika katika viwanja vya Misuka ahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja, (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Spika wa Baraza la awakilishi Zanzibar.Mhe. Zuberi Ali Maulid (kulia kwa Rais) Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Alhajj iliofanyika katika Uwanja wa Msuka Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiungano na Waumini Duniani katika Idaba ya Sala ya Eid Alhajj, wakiwa katika Uwanja wa mpira wa Misuka Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja wakimsiliza Sheikh Ahmeid Ashkina akisoma hutba hiyo (hayupo pichani) Sala ya Eid Alhajj mwaka huu Kitaifa imefanyika Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • SHEIKH Ahmed Ashkina askisoma Hutba ya Sala ya Eid Alhajj baada ya kumalizika kwa Sala hiyo iliofanyika Kitaifa Mkoa wa Kaskazini Unguja Wilaya ya Kaskazini “B”,katika uwanja wa mpira wa Misuka Mahonda.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiungano na Waumini Duniani katika Idaba ya Sala ya Eid Alhajj, wakiwa katika Uwanja wa mpira wa Misuka Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja wakimsiliza Sheikh Ahmeid Ashkina akisoma hutba hiyo (hayupo pichani) Sala ya Eid Alhajj mwakahuu imefanyika Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • MASHEIKH wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja wakimsikilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaskazini “B” Kinduni
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Masheikh wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika ukumbi wa Halmashauri Wilaya Kinduni, baada ya kumaliza Sala ya Eid Alhajj iliofanyika katika Uwanja wa Mpira wa Misuka Mahonda.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheik. Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma Mhe. Haroun Ali Suleiman na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt Hussein Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia Mtoto Ali Abdalla Hassan, baadaya kumalizikac kwa Sala ya Eid Alhajj iliofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Mpira wa Misuka Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Alhajj iliofanyika Kitaifa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika Uwanja wa Mpira Mahonda.
  • SHEIKH Ahmed Ashkina askisoma Hutba ya Sala ya Eid Alhajj baada ya kumalizika kwa Sala hiyo iliofanyika Kitaifa Mkoa wa Kaskazini Unguja Wilaya ya Kaskazini “B”,katika uwanja wa mpira wa Misuka Mahonda
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheik. Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais)Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya Sala ya Eid Alhajj iliofanyika Kitaifa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika Uwanja wa mpira wa Misuka mahonda.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Alhajj iliofanyika katika Uwanja wa Msuka Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja