Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Bi. Rahma Mabrouk Masoud wa Kikundi cha “Tushirikiane Cooperative"Gombani Chakechake wakati alipoungana na Rais wa ZNZ
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya CD ya Utenzi na Nyimbo za kupiga vita Rushwa na Uhujumu wa Uchumi.