Dk.Shein afanya majumuisho ya ziara yake Wilaya ya Mjini Unguja.
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mjini Unguja Kichama Ndg. Juma Faki,akizungumza wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa majumuisho ya ziara yake katika Wilaya ya Mjini Unguja kutembelea Miradi ya Maendeleo ilioko katika Wilaya hiyo majumuisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Kariakoo Zanzibar.
MKUU wa Wilaya ya Mjini Unguja Bi. Marinev Joe Thomas, akisoma taarifa ya utekelezaji ya Wilaya ya Mjini wakati wa Mkutano wa Majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, yaliofanyika katika ukumbi wa kiwanja cha Watoto Kariakoo Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala zac Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe.Haji Omar Kheri, akizungumza wakati wa mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala M apinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, yaliofanyika katika ukumbi wa kiwanja cha Watoto kariakoo Zanzibar.
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akizungumza na kutowa neno la shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa mkutano wa majumuishoi ya ziara yake katika Wilaya ya Mjini Unguja iliofanyika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma Taarifa ya Utekelezaji ya Wilaya ya Mjini Unguja baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Bi. Marine Joe Thomas, wakati wa mkutano wa majumbuisho ya ziara yake katika Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Majumuisho ya ziara yake katika Wilaya ya Mjini Unguja katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Kariakoo Zanzibar, baada ya kumaliza ziara yake katika Wilaya hiyo
Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika Wilaya ya wete Kisiwani Pemba
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akiongoza maandamano ya Majaji wa Mahakama Kuu Zanzibar wakielekea katika ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba, wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar,kulia Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar Mhe.Abdulhakim Ameir Issa na kushoto Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Mhe. Abraham Mwampashi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Kitabu cha Zanzibar ya Law, wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba, kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe Haroun Ali Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Kitabu cha Zanzibar ya Law baada ya kukizindua katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika Kitaifa Kisiwani Pemba Wilaya ya Wete, kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe. Haroun Ali Suleimin.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar.
BAADHI ya Mawaziri Makatibu Wakuu na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, wakiwa katika ukumbi wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika Wilaya ya Wete Pemba.
MWAKILISHI wa Chama Cha Wanasheria Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban, akitowa salamu za Wanasheria Zanzibar wakati wa hafla ya Maafdhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Meza Kuu wamesimama ukipigwa wimbo wa Taifa kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe Haroun Ali Suleiman.
JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akihutubia wakati wa hafla ya Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
WAHESHIMIWA Majaji na Mahakimu na Wananchi wakihudhuria hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika Kisiwani Pemba Wilaya ya Wete ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuhutubia hafla hiyo iliofanyika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
WANASHERIA Mkuu wa Zanzibar Mhe. Said Hassan Said, akizungumza wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete
JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akihutubia wakati wa hafla ya Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
MKURUGENZI wa Mashtaka Zanzibar Mhe. Ibrahim Mzee akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
AADHI ya Wananchi Kisiwani Pemba wakihudhuria Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman.
Dk.Shein amezungumza Waziri wa Kilimo na masuala ya rdhi wa Misri Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi wa Jamuhuri ya Kiarabu wa Watu wa Misri.Dkt.Ezzaldin O.Abusteit, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzi, akiongozana na Ujumbe wake na kulia Balozi wa Misri Nchini Tanzania Mhe. Gaber Mohamed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi Jamuhuri ya Kiarabu ya Watu wa Misri.Dkt. Ezzaldin O.Abusteit,wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.3-2-2019.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi wa Jamuhuri ya Watu wa Misri. Dkt. Ezzaldin.O.Abusteit, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi wa Jamuhuri ya Kiaranu ya Watu wa Misri Dkt. Ezzaldin .O. Abusteit, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar. 3-2-2019, anayefuata Balozi wa Misri Nchini Tanzania Mhe. Gaber Mohamed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi wa Jamuhuri ya Kiarabu wa Watu wa Misri, Dkt.Ezzaldin O.Abusteit.
Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar uwanja wa Gombani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo, alipowasili katika viwanja vya Gombani Kisiwani Pemba, kuhudhguria Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea saluti ya Gwaride rasmin la maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yaliofadhimishwa kisiwani Pemba katika Uwanja wa Gombani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwapungua Mkono Wananchi akiwa katika gari Maalum ya Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, wakati akiingia katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, akiwa pamoja na Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar, Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo.
KIKOSI cha Bendera cha JWTZ kikipita mbele ya Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakitowa heshima kwa mwendo wa Pole wakati wa bwaeride la kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride rasmin la Sherehe za Mapinduzi katika kikosi cha Polisi (FFU) kwa kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride rasmin la Sherehe za Mapinduzi kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride rasmin la Sherehe za Mapinduzi kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg.Phillip Mangula, alipowasili Jukwaa kuu baada ya kukagua gwaride rasmin la sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume, alipowasili jukwaa kuu la Viongozi baada ya kumaliza kukagua gwaride rasmin la sherehe za Mapinduzi katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiwa katika Jukwaa Kuu akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.na Viongozi wa Serikal na Vyombo vya Ulinzi na Usalama
VIJANA wa Payunia wakipita mbele ya Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,wakitowa heshima, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yalioadhimishwa katika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwapungia Wananchi wakipita katika jukwaa kuu kwa maandamano maalum yalioandaliwa kwa ajilin ya kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
VIJANA wa Payunia wakipita mbele ya Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,wakitowa heshima, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yalioadhimishwa katika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
VIJANA wa CCM wakipita mbele ya Jukwaa Kuu la Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiwa katika maandamano wamebeba picha za Viongozi.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wakipita katika jukwaa kuu wakiwa na ngoma ya beni wakati wa maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride rasmi la Sherehe za Mapinduzi kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
/KIKOSI cha JWTZ wakitowa heshima kwa mwendo wa polepole wakitowa heshima mbele ya Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu)
KIKOSI cha Askari wa FFU wakipita kwa mwendo wa pole mbele ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Dk. Ali Mohamed Shein
GADI ya kwanza ya Gwaride rasmin la kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakipita kwa mwendo wa Pole mbele ya jukwaa la Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.
ASKARI wa Chuo cha Mafunzo wakipita kwa mwendo wa kasi wakitowa heshima jukwaa kuu, wakati wa Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya
ASKARI wa Chuo cha Mafunzo wakipita kwa mwendo wa kasi wakitowa heshima jukwaa kuu, wakati wa Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya
ASKARI wa Kikosi cha KMKM wakitowa heshima wakati wakipita Jukwaa Kuu Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba wakati wa gwaride la Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
ASKARI wa Kikosi cha JKU wakitowa heshima kwa mwendo wa Kasi mbele ya Mgeni Tasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein.
KIKOSI cha Jeshi la Polisi Wanawake wakitowa heshima wakati wakipita jukwaa kuu Uwanja wa Gombani Pemba
Dk.Shein amewasili Kisiwani Pemba kuhudhuria Sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar Kitaifa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Kisiwani Pemba,kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zinazotarajiwa kufanyika tarehe 12/1/2019, katika Uwanja wa Gombani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Karume Mjini Chake chake Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chake chake Kisiwani Pemba, akielekea katika chumba cha VIP.