State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar ambae pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua Kongamano la maadhimisho ya wiki ya Wazazi.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amejumuika na wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika matembezi na mazoezi ya viungo viwanja vya Muyuni C Unguja.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na wananchi wa Mombasa Unguja katika sala ya Ijumaa.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Balozi wa Switzerland Ikulu Zanzibar