State House Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (wa pili kulia)

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amezungumza na wadau wa Elimu Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Askofu wa Kanisa la Anglikana Zanzibar

Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Makatibu wakuu na Manaibu Katibu wakuu katika viwanja vya Ikulu.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na waumini wa dini ya Kiislam Katika sala ya Ijumaa iliofanyika Masjid Rahman Kijichi Zanzibar.