State House Blog

Dk.Shein aweka jiwe la msingi Jengo la Michezani Mall na la Sheikh Thabit Kombo Michezani

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baeraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, alipowasili katika viwanja vya Mradi wa Ujenzi wa Maduka ya Kisasa Michezani Mall na Jengo la Sheikh Thabit Kombo wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la jengo hilo linalojengwa na Kampuni kutoka China ya CRJE, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi Jengo la Sheikh Thabit Kombo Michezani Jijini Zanzibar , ikiwa ni kuashimisha sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Kampuni ya Ujenzi ya CRJE kutoka Nchini China, aliposiki katika viwanja vya Michezani Mall, kwa ajili ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la jengo hilo, ikiwa ni shamrashara za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (kulia kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi, wakimsikiliza Meneja Mipango, Uwekezaji na Utafiti (ZSSF)Ndg. Abdulazizi Ibrahim Iddi, akitowa maelezo ya kiufungi ya jengo hilo baada uwekaji wa Jiwe la Msingo la Jengo la Sheikh Thabit Kombo michezani Muembe Kisonge Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe.Hassan Khatib Hassan (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi, wakielekea katika jengo la Sheikh Thabit Kombo kwa aajili ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Jengo hilo ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Meneja wa Mipango, Uwekezaji na Utafiti wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar.(ZSSF) Ndg. Abdulazizi Ibrahim Iddi akitowa maselezo ya michoro ya picha ya jengo la Michezani Mall, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya jengo hilo michezani Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi la Jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Mohammed Ramia Abdiwawa, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya michezani Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Jengo la Sheikh Thabit Kombe Michezani Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika michezani Muembe kisonge.
  • WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.BaloziMohammed Ramia Abdiwawa akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuwahutubia Wananchi katika viwanja vya Mapinduzi Square michezani muembe kisonge Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.Mhe.Dk Shein.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia wakati wa hafla ya sherehe za uwekaji wa Jiwe la Msingi majengo mawili la Michezani Mall na la Sheikh Thabit Kombo, michezani Jijini Zanzibar, wakati wa shamrashamra za Kuadhimisha sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar, katika viwanja vya Mapinduzi Square Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi jengo la Sheikh Thabit Kombo michezaji Jijini Zanzibar, (kushoto kwa Rais )Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr.Abdalla Juma Mabodi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe.Zuberi Ali Maulid.
  • WAFANYAKAZI wa ZSSF wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo picha ) akihutubia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Majengo mawili ya Mradi wa (ZSSF ) ya Michezani Mall na la Sheikh Thabit Kombo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisoma kijarida cha ZSSF wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Miradi ya ZSSF katika eneo la michezaji Jijini Zanzibar.
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.Ndg. Khamis Mussa akitowa maelezo ya Kitaalam ya Miradi ya Ujenzi wa majengo ya Sheikh Thabit Kombo na la Michezani Mall, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar
  • NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi akizunguma wakati wa hafla hiyo ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Jengo la Sheikh Thabit Kombo michezani muembe kisonge Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • WAGENI waalikwa na Wanchi wa Zanzibar wakifuatilia hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Majengo mawili ya Mradi wa ZSSF michezani Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein(hayupo picha) akihutubia katika viwanja vya Mapinduzi Square michezani Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki katika eneo la Malindi Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Dk.Shein ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea eneo la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar. (kulia kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri na (kushoto kwa Rais) Mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini Tanzania Bw. Katsutoshi Tadeka.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja (kushoto kwa Rais) Mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini Tanzania Bw.Katsutoshi Tadeka na (kulia kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe Mmanga Mjengo Mjawiri, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi huo Malindi ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja (kushoto kwa Rais) Mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini Tanzania Bw.Katsutoshi Tadeka na (kulia kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe Mmanga Mjengo Mjawiri, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi huo Malindi ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Zanzibar Ndg. Mussa Aboud Jumbe akitowa maelezo ya michoro ya jengo la Soko la Samaki inayojengwa katika eneo la Malindi , wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Bandari na Soko la Samaki, ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Skuli Mpya ya Sekondari Rahaleo Jijini Zanzibar kwa niaba ya Skuli tisa zilizojengwa Unguja na PembaRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Skuli Mpya ya Sekondari Rahaleo Jijini Zanzibar kwa niaba ya Skuli tisa zilizojengwa Unguja na Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki katika eneo la Malindi Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki katika eneo la Malindi Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • MWAKILISHI wa Balozi wa Japan Nchini Tanzania.Bw.Katsutoshi Tadeka, akizungumza wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Zanzibar.ikiwa ni shamrashamra za kushrehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya malindi
  • BAADHI ya Wananchi na Wavuvi kutoka sehemu mbalimbali ya Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika viwanja vya Malindi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Bandari na Soko la Samaki Malindi Mjini Unguja
  • WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,kuhutubia hafla hiyo, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • BAADHI ya Wananchi waliotoka sehemu mbalimbali za Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akihutubia katika viwanja vya Malindi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Bandari na Soko la Samaki Malindi Mjini Unguja.

Dk.Shein aweka jiwe la mnsingi Mradi wa miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji

  • KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam Juma Mabodi akitowa maelezo ya Kitaalam ya Ujenzi wa Mradi huo wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ikiwa ni shamra shamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza wakati wa hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa shamra shamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji katika eneo la Kinyasini Kisongoni ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • NAIBU Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Exim ya Korea Ndg.Kang Sangjin akitowa salamu za Kores Eximbank wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji unaojengwa na Kampuni ya Kolon –Hansol Jv kutoka nchini Korea
  • WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza wakati wa hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa shamra shamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji katika eneo la Kinyasini Kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,( kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri

Dk.Shein amewatunuku wahitimu wa Mahafali ya 15 Chuo cha Taifa Zanzibar Suza.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuki Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili Bi. Mwanahija Ali Juma, wakati wa Mahafali ya 15 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubiwa wakati wa hafla ya Mahafali ya 15 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora wa Kike Ngazi ya Shahada ya Kwanza ya Jiografia na Taaluma ya Mazingira. Aisha Omar Makame.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubiwa wakati wa hafla ya Mahafali ya 15 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwatunuku Wahitimu Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar ( SUZA) wakati wa Mahafali ya 15 ya Chuo hicho yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Prof. Joyce Ndalichako.
  • WAHITIMU wa Shahada ya Kawaida ya Uongozi wa Fedha na Uhasibu wakifurahia wakati wakitunukia Cheti na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wajkati wa hafla ya Mahafali ya 15 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika maandamano na Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Dkt. Zakia Mohamed Abubakar, wakielekea katika ukumbi wa mahafali ya 15 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Prof.Joyce Ndalichako (katikati) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein(SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja kuhudhuria hafla ya Mahafali ya 15 ya SUZA na kulia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma na kushoto Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt.Idrisa Muslim Hijja.
  • WAHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano la Mahafali ya 15 ya SUZA wakielekea katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
  • WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia Tanzania na kushoto Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma wakiwa katika maandamano wakielekea katika ukumbi wa Mahafali ya 15 ya SUZA yaliofanyika katika Ukumbiu wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.(

Rais wa Zanzibar Dk.Shein amefungua Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na haki za Binaadamu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa Tunzo Maalum ya Kusimamia na Muazilishi wa Utawala Bora Zanzibar na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, wakati wa hafla ya Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu na Utawala Bora lililofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Haki za Binadamu wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akihutubia (hayupo picha) katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Mawaziri wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo picha ) akihutubia katika hafla ya ufunguzi uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Washauri wa Rais wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo picha ) akifungua Kongamano hilo
  • BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo picha ) akifungua Kongamano hilo
  • BAADHI ya Mawaziri wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo picha ) akihutubia katika hafla ya ufunguzi uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo picha ) akifungua Kongamano hilo