Uzinduzi wa Kitabu cha Kocha Bora.
Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi,Viongozi wengine na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Vijana,Sanaa, Utamaduni na Michezo Balozi Ali Abeid Karume (kushoto) Naibu Waziri Lulu Msham Abdalla (kulia) akifuatiwa na Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd.Omar hassan Omar (king) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil mnazi Mmoja Mjini Zanzibar katika Uzinduzi wa Kitabu kiitwacho "Mwalimu Bora wa Soka"uliofanyika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi na wanamichezo hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Kocha Bora uliofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi,Viongozi wengine na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu "Mwalimu Bora wa Soka" uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar
Mkalimani wa Lugha za Alama akisomea watu wenye tatizo Uziwi katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akinyanyua kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" baada ya kukizindua rasmi leo katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar ambacho kimeandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla
Wanamichezo na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla
Makocha mbali mbali katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi na wanamichezo katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" uliofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
Dk.Shein amewatunuku Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikagua Gwaride la Maalum la Maofisa wa Idara za Maalum za SMZ kabla ya Kuwatunuku Kamisheni katika hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Kama KMKM
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikagua Gwaride la Maalum la Maofisa wa Idara za Maalum za SMZ kabla ya Kuwatunuku Kamisheni katika hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Kama KMKM
KIKOSI cha Bendera kikitowa shaluti kwa mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamede Shein.(hayupo pichani) kwa mwendo wa polepole wakati wa hafla ya kutunukiwa Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
MAOFISA wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Zanzibar KMKM wakiwa katika gwaride Maalum baada ya kutunukia Kamisheni na Rais swa Zanzibare na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika katika Kambi ya Kikosi Maalum cha Kuzuiya Magendo Zanzibar (KMKM) Kama Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
MAOFISA wa Idara Maalum za SMZ Zanzibar wakila kiapo baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais swa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani ) hafla hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A”Unguja.
MAOFISA wa Kikosi cha JKU wakitowa heshima kwa mgeni Rais Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) baada ya kutunukiwa Kamisheni leo katika viwanja vya Kambi ya Kikosi Maalu cha Kuzuiya Magendo Zanzibar (KMKM) Kama Wilaya ya Maghaeribi Unguja
MAOFISA wa Idara Maalum za SMZ Zanzibar wakila kiapo baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais swa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani ) hafla hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A”Unguja.
MAOFISA wa Idara za SMZ Zanzibar wakifishana Vyeo baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) baada ya kumal;iza mafunzo yao hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi”A” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwatunuku Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ, baada ya kumaliza mafunzo yao hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwatunuku Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ, baada ya kumaliza mafunzo yao hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwatunuku Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ, baada ya kumaliza mafunzo yao hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
Mkutano wa Kampeni za CCM Bumbini Makoba.
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akitoa sera za Chama na kuomba kura kwa Wanannchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
Wagombea Ubunge na Uwakilishi CCM Jimbo la Bumbwini wakionesha Ilani walizokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akitoa sera za Chama na kuomba kura kwa Wanannchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiwaombea kura wagombea nafasi za Uongozi wagombea mbali mbali wa Urais wa Zanzibar pia na Rais wa Muungano,Ubunge ,Uwakilishi na Udiwani wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimkabidhi Ilani ya Chama cha Mapinduzi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mahonda Abdalla Ali Hassan Mwinyi wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakisikiliza sera zilizotolewa na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakisikiliza sera zilizotolewa na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakisikiliza sera zilizotolewa na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu
Baadhi ya Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakisikiliza sera zilizotolewa na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu
Wanachama wa CCM "Team Mwinyi Kwanza" ni miongoni mwa waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (Mabodi) wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo jimbo la Bumbini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja,
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa ameagwa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ukipigwa wimbo wa taifa wakati wa hafla ya kuagwa baada ya Utumishi wake wa miaka kumi (2010-2020) hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu.
Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) wakiwa na Viongozi wengine wakati wa hafla ya kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) Dk.Ali Mohamed Shein baada ya Utumishi wake wa miaka kumi (2010-2020) hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu.
Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) wakiwa na Viongozi wengine wakati wa hafla ya kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) Dk.Ali Mohamed Shein baada ya Utumishi wake wa miaka kumi (2010-2020) hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu
Viongozi na Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar (SUZA) na wananchi mbali mbali wakiwa katika hafla ya kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) Dk.Ali Mohamed Shein baada ya Utumishi wake wa miaka kumi (2010-2020) hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu.
Mke wa Mgombe Urais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi na Mke wa Makamo wa Rais Mstaafu Mama Asha Bilali (katikati) wakiwa na Viongozi wengine wa Chama na Serikali wakati wa hafla ya kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar (SUZA) Dk.Ali Mohamed Shein baada ya Utumishi wake wa miaka kumi (2010-2020) hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu
Viongozi mbali mbali akiwepo Mgombe Urais wa Zanzibar CCM Dk.Hussein Mwinyi (wa pili kulia) wakiwa katika hafla ya kuagwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) Dk.Ali Mohamed Shein baada ya Utumishi wake wa miaka kumi (2010-2020) hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akifurahia zawadi aliyopewa katika hafla ya kuagwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) Dk.Ali Mohamed Shein baada ya Utumishi wake wa miaka kumi (2010-2020) hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu.
Ufunguzi wa Jengo la “Michezani MALL” Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kulia) pamoja na Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Nd,Nasra Issa Machano alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar mara baada ya kulifungua rasmi,hafla iliyofanyika leo Michenzani Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kushoto) akiwa mgeni rasmi akijumuika na Viongozi mbali mbali alipokata utepe kulifunguwa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Squre Michenzani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwasili katika Ufunguzi wa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar lililojengwa na Kampuni ya CREJ kutoka Nchini China hafla iliyofanyika viwanja vya Mapinduzi Squre Michenzani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akisalimiana na Makamo Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilali alipowasili katika Ufunguzi wa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar lililojengwa na Kampuni ya CREJ kutoka Nchini China hafla iliyofanyika viwanja vya Mapinduzi Squre Michenzani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa mgeni rasmi akijumuika na Viongozi mbali mbali katika kufunguwa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar hafla iliyofanyika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akifuatana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Nd,Nasra Issa Machano pamoja na Viongozi wenginei alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar mara baada ya kulifungua rasmi,hafla iliyofanyika Michenzani Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akisalimiana na Makamo Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilali alipowasili katika Ufunguzi wa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar lililojengwa na Kampuni ya CREJ kutoka Nchini China hafla iliyofanyika leo viwanja vya Mapinduzi Squre Michenzani
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar hafla iliyofanyika