Dk.Shein amekutana na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania Nchini Urusi na Rwanda
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi (katikati) akiwepo na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu pia Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda (kushoto)walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi akiwepo na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu pia Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli hivi karibuni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu akiwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda akiwepo Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli hivi karibuni.
Ujumbe wa Madaktari kutoka China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiongoza timu ya Madaktari kutoka China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na timu ya Madaktari kutoka China inayoongozwa na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu (wa tatu kulia) wakati timu hiyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu (kushoto) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo* akiongoza timu ya Madaktari kutoka China (hawapo pichani).
Kongamano la kumbukumbu ya Rais wa kwanza wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara alipotembelea katika chuo hicho kiliopo Bali Indonesia akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Mjini Bali Nchini Indonesia Nd,INyoman Sudiksa ,SE.M.Par alipotembelea katika chuo hicho jana akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea mashada ya mauwa kama ishara ya mapokezi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara wa kati alipowasili katika Chuo hicho jana akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Khudhaima Mbwana Kilo wa Skuli ya Msingi ya Uzini alipokabidhi zawadi kwa washindi wa Insha katika Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bububu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Ali Makenika Ali wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba alipokabidhi zawadi kwa washindi wa Insha katika Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bububu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya baada ya kuzindua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo Bububu Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa Hutuba yake ya Uzinduzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bububu
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii kiliopo katika Mji wa Bali, Indonesia Dr.Dewa Gede Byomantara (kulia) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Ujumbe aliofuatana nao wakati walipotembelea sehemu mbali mbali katika chuo hicho jana katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Kofia ya Dardhi ya Zanzibar Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Mjini Bali Nchini Indinesia Dr.Dewa Gede Byomantara alipotembelea katika Chuo hicho pamoja na ujumbe wake alipokuwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimuuliza suala Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi za Chuo hicho kiliyopo nje kidogo wa Mji wa Bali Nchini Indinesia alipotembelea akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Baadhi ya wafanyakazi wa Chuo cha Utalii katika Mji wa Bali Nchini Indinesia wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Chuo hicho alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein * walipotembelea jana wakiwa katika ziara ya *mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa Hutuba yake ya Uzinduzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bububu
Dk.Shein ametembelea eneo la Mpigaduri na Maruhubi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa, itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelekezo wa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi wakati walipofika eneo la fukwe ya Bwawani wakati wa ziara maalum kutembelea eneo hilo sambamba na kutembelea Mpigaduri na Maruhubi eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Nd, Mustafa Aboud Jumbe (katikati) alipofika eneo la fukwe ya Bwawani wakati wa ziara maalum alipotembelea eneo hilo linalotarajiwa kujengwa Mji Mpya wa kisasa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud Jumbe (Mwenye kipaza sauti) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) wakati wa ziara maalum Rais alipotembelea Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo kutembelea eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Siara Ubwa Mamboya (wa pili kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Nd, Mustafa Aboud Jumbe (Kushoto) alipofika eneo la fukwe ya Bwawani wakati wa ziara maalum ya kutembelea eneo hilo sambamba na kutembelea Mpigaduri na Maruhubi eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Eneo la ufukwe wa Mpigaduri, Maruhubi linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Salama Aboud Twalib wakati alipotembelea Eneo la Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Ufukwe wa Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Ujumbe wa Baraza la Mapinduzi walifika kuangalia Alama Maalum za mipaka ya ujenzi wakati alipotembelea eneo la Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Ufukwe wa Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud Jumbe (Mwenye kipaza sauti) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) wakati wa ziara maalum Rais alipotembelea Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo kutembelea eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Dk. Shein amekutana na Bodi ya Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulioongozwa na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya (wa pili kulia) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na aliofuatana nao