State House Blog

Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea maonyesho

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi Aamezungumza na Mwakilishi wa Unesco Tanzania

Kilele cha Sherehe za 57 Mapinduzi Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Biashara Benki ya NBC Ndg,Obedy Ngavatula (kushoto) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati)wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Foundation Bi.Tully Esther Mwambapa (kushoto) akitoa maelezo wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan

Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Askofu Mkuu Wa Kanisa La Tanzania Assemblies Of God

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Dr.Barnanas Weston Mtokambali alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa pongezi zake kwa Rais na (kulia kwa Askofu) Rev. Dikson Kaganga, Askofu wa Jimbo la Zanzibar, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11/12/2020
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Dr.Barnanas Weston Mtokambali (kulia kwa Rais) akiwa na Askofu wa Jimbo la Zanzibar Rev.Dikson D.Kaganga, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God. Dr.Barnanas Weston Mtokambali, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza hafla hiyo imefanyika leo 11/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala.

  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Sakleh Omar Kabi iliofanyika katika Masjid Jibri Mkunazini Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisoma na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jibri Mkunazini Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waumini wa Dini wakati akiondoka baada ya kumaliza kusali Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jibri Mkunazini Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jibri Mkunazini Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisoma na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jibri Mkunazini Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jibri Mkunazini Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa dini ya Kiislamu (hawapo pichani) katika Masjid Jibril Mkunazini Jijini Zanzibar leo mara baada ya Swala ya Ijumaa,mbapo pia aliwataka wananchi kundosha tofauti za kiitikadi ili kujiletea maendeleo ya Nchi yetu kwa ujumla
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu na wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupom pichani) alipozungumza na Waumini hao leo mara baada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa Masjid Jibril Mkunazini Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa dini ya Kiislamu alipojumuika nao leo katika Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa Masjid Jibril Mkunazini Jijini Zanzibar