Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) limepongezwa na Mheshimiwa Dk.Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao wengine Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (wa pili kulia) akiwa na Katibu Mkuu pia kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Nd,Salum Maulid Salum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao,(kushoto)Bibi.Azzan Amin Nofly Ofisa katika Shirika hilo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,09/11/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao
Dk.Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katik**a kikao cha siku moja cha Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwepo na Naibu Katibu Mkuu Maryam Juma Abdulla Saadalla
Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai-Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
Dk.Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongozaa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,cha Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, 06/11 /2017
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa BLM,pia Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salum Maulid Salum (wa pili kulia) alipokuwa akichangia wakati wa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,cha Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia),akiwepo na Waziri Balozi Ali Abeid Karume na Naibu wake Mohamed Ahmed Salum (kushoto),06/11 /2017
Wakurugenzi wa Idara zilizokatika Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji wakiwa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,06/11/2017.
Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Balozi Ali Abeid Karume (katikati) alipowasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, wakati wa kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo **kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine ni ** Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa BLM Nd,Salum Maulid Salum(kulia) na Naibu wa Wizara hiyo Mhe.Mohamed Ahmed Salum 06/11/2017.
Uzinduzi wa Upimaji wa afya Watoto wa kituo cha Mazizini Unguja
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Cyrus Castico na Mke wa Balozi Mdogo wa China Mhe.Mama Liu Jie (kushoto) 04/11/2017.
Baadhi ya Madaktari wa kujitolea kutoka Jamhuri ya Watu wa China,Wananchi na Watoto wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto wanaolelewa katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi iliyofanyika mgeni rasmi akiwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani) 04/11/201
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie(katikati kulia) pamoja na Viongozi wengine wakiangalia Ngoma ya Utamaduni kutoka China iliyochezwa na vijana wa Zanzibar na China katika hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi 04/11/2017
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimpakata Mtoto Yussuf Abdalla Abdilah akifanyiwa uchunguzi wa Dr.Qin Qin (kulia) kutoka china akiwa ni miongoni mwa Madakatri wa kujitolea akati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa picha ya pamoja na Madaktari wa Kichina wakati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi, 04/11/2017
Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie (katikati) akimpakata mtoto wakati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi,(kulia) Dr.Guo Yulan akiendelea na zoezi hilo,wakiwepo na Viongozi wengine Dr.Wang Hao,Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Cyrus Castico,Katibu Mkuu Bi.Fatma Gharib Bilali na Naibu Wazuiri wa Afya Mhe,Harusi Said Suleiman,04/11/2017
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie (kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakiwaangalia Watoto wa Kituo cha mazizini wakiimba Wimbo maalum wa kuwakaribisha wageni katika hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi, 04/11/2017.
WAHITIMU Chuo Kikuu cha Taiza Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano wakielekea katika ukumbi wa Mahafali wa Dk. Ali Mohamed Shein,Tunguu.
Dk.Shein azungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa pili wa Rais.
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Aiman Duwe akitowa maelezo ya picha za mitambuo mbalimbali ya Studio hizo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akitembelea jengo hilo kujionea mitambo hiyo
Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuufungua mkutano huo leo,katika Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatib Hassan (katikati)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa Rais, Sera, Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Jenista Joakim Mhagama (kulia) mara alipowasili katika Hotel Madinat Al Bahr, Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar kufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC