Dk Shein amezungumza na Mwakilishi wa Unicef nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi.Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar, kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini, kushoto akiwa na Mwakilishi wa UNICEF anayefanyika Kazi zake Zanzibar Bi. Maha Damaj.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa picha na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani , yenye Ujumbe Unaoashiria Upendo kwa Watoto, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga
Rais wa Zanzibar Dk.Shein amefungua majengo ya Wizara tatu za smz Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Magengo Matatu ya Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zilioko katika eneo la Gombani Wilaya ya Chakechake Pemba, kulia Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kufungua majengo ya Wizara Tatu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kushoto Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa na kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Khamis Juma Maalim, wakishiriki katika ukataji wa utepe huo wakati hafla ya ufunguzi wa majengo hayo
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea majengo hayo baada ya kuyafungua rasmin kisiwani Pemba katika eneo la Gombani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mshauri wa Ujenzi wa Majengo Matatu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ndg. Mbarouk Juma, wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Majengo hayo eneo la Gombani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiuliza mswali wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa majengo hayo katika eneo la Gombani Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Afisa Mdhamini Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Pemba Ndg. Hakim Vuai Shein, kulia, wakati akitembelea jingo la Wizara hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mjenzi wa Majengo ya Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ndg. Khamish Ali Khamis, ( na kushoto Mshauri Elekezi wa Mradi wa Ujenzi huo Ndg. Mbarouk Juma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mjenzi wa Majengo hayo wakati alitembelea majengo hayo baada ya kuyafungua rasmin
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwatubia Wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya ufunguzi wa majengo hayo.
Majengo ya Wizara Tatu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yaliojengwa katika eneo la Gombani Kisiwani Pemba Wilaya ya Chakechake yaliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mshauri wa Ujenzi wa Majengo Matatu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ndg. Mbarouk Juma, wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Majengo hayo eneo la Gombani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akielekea katika eneo lililotengwa kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya ufunguzi wa majengo hayo.
Wakuu wa Idara za Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo katika viwanja vya Majengo ya Wizara Tatu za SMZ.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea majengo hayo baada ya kuyafungua rasmin leo kisiwani Pemba katika eneo la Gombani.
Baadhi ya Wananchi wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Majengo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla hiyo baada ya ufunguzi wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Afisa Mdhamini Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Pemba Ndg. Hakim Vuai Shein, kulia, wakati akitembelea jingo la Wizara hiyo.
Dk.Shein amejumuika na wananchi katika mazishi ya Katibu Mkuu Wizara Biashara Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiifariji Familia ya Marehemu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Juma Ali Juma Wajane wa Marehemu alipofika nyumbani kweke Kijichi Wilaya ya Magharibi A Unguja kutowa mkono wa pole.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akishiriki katika kuusalia Mwili wa Marehemu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg, Juma Ali Juma, ikisaliwa katika Masjid ya Kijichi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Juma Ali Juma yaliofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi katika mazishi ya Marehemu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg, Juma Ali Juma, yaliofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiitikia dua baada ya kumaliza Sala ya Maiti ilioongozwa na Sheikh Said Seif Salam,iliofanyika katika Masjid ya Kijichi Wilaya ya Magharibi A Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Dkt.Muhiddin Ahmad Khamis, baada ya kumalizika mazishi ya Marehemu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Juma Ali Juma
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Ndg. Ali Khamis, akisoma wasifu wa Marehemu wakati wa mazishi yaliofanyika katika makaburi ya mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi B Unguja
Dk.Shein amehudhuria Mahafali ya 14 Chuo cha Taifa Suza.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar yaliofanyika katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.
WAHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia katika hafla hiyo ya Mahafali ya 14 ya (SUZA) yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, Tunguu Zanzibar.
.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiingia katika ukumbi wa Mahafali ya 14 YA SUZA, akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Profesa Idrisa Rai.
BAADHI ya Wahitimu wa Mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano wakiingia katika ukumbi wa Mahafali wa Dk. Ali Mohamed Shein, Tunguu Zanzibar.
WAHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano ya Mahafali ya 14 ya SUZA wakiingia katika ukumbi wa hafla hiyo ya Dk.Ali Mohamed Shein, Tunguu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe. Dk Ali Mohamed Shein, akimtunuku Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili ya Vitendo Neni katika Hutuba za Kampeni za Uchaguzi za Mwaka 2015 na Athari zake kwa Wanajamii wa Kisiwani Unguja -Zanzibar. Ndg. Mahmoud Yussuf Haji, wakati wa hafla ya Mahafali ya 14 ya (SUZA) yaliofanyika katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein. Tunguu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili Ndg. Ali Saleh Khalfan, ya Utafiti wa Istilahza Kiswahili :Mfano wa Istalahi za Sayansi ya Komyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, wakati wa hafla ya Mahafali ya 14 ya (SUZA) leo katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein. Tunguu Zanzibar
WAHITIMU wa Mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.
WAHITIMU wa Mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika ukumbi wa mikutano wa Dk. Ali Mohamed Shein.Tunguu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwatunuku Shahada ya Uzamuli ya Sanaa ya Kiswahili, wakati wa hafla ya Mahafali ya 14 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.
Dk.Shein ameongoza Wananchi katika Hitma ya Mzee Karume.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, kuhudhuria hafla ya Hitma ya Dua ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Mkuu Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo,alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhguria Hitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume
Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja akihudhuria hafla ya Hitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Viongozi na Wananchi katika Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, kushoto Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Balozi Seif Ali Iddi na Rasi Mstaaf wa Tanzania Mzee Aliu Hassan Mwinyi na kulia Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali,Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ameni Karume na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dr. Abdallah Juma Sadala.
Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ali akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe Mohammed Aboud Mohammed alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria hafla ya Hitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi wa Zanzibar katika Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliofanyika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar, kushoto Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma na kulia Mama Shadya Karume na Mama Fatma Karume,wakiitiikia dua wakati wa hafla hiyo ya Hitma ya Mzee Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika leo Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
WANANCHI kutoka sehemu mbalimbali ya Mji wa Zanzibar wakihudhuria Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.(
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ya kuhitimisha Hitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ,ikisomwa na Sheikh Jaffar Abdallah Abdald, katika hafla hiyo iliofanyika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.kushoto Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Salif Omar Kabi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seiff Ali Iddi na Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi na kulia Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali nac Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt Amani Abeid Karume
WANAINCHI wakishiriki katika Kisoma cha Hitma ba Dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliofanyika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria Hitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume
MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika kaburi la Mareheme Mzee Abeid Amani Karume, baada ya kumalizika dua ya kumuombea iliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
MWAKILISHI wa Familia ya Marehemun Mzee Abeid Amani Karume,Balozi Ali Karume baada ya kumalizika hafla ya kisomo cha Hitma na Dua kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika Afisi Kuu ya CCM Zanzibaer
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka Shada la Maua katika kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, baada ya kumalizika kwa kisomo cha Hitma iliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ungyuja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakitoka katika viwanja vya Kaburi la Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, baada ya kumalizika kwa dua na kuweka mashada ya mau.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi Mhe,.Dk. Aliu Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi wengine wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, katika kamuri la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, Rais wa Kwa wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Afisiu Kuu ya CCM Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akijumuika katika dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, kulia Mjane wa Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Mama Fatma Karume na Mama Shadya Karume wakiitikia dua wakiwa katika viwanja vya karubi katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ungyuja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakitoka katika viwanja vya Kaburi la Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, baada ya kumalizika kwa dua na kuweka mashada ya mau.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud Mohammed akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. Januari Yussuf Makamba baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya kumuombea Dua Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar