Dk.Shei amehudhuria Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad S.A.W viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa `akikabidhiwa Qasweeda ya Mwaka na Mshauri wa Jumuiya ya Malade Nabii Zanzibar Sheikh. Sherali Champsi, wakati wa hafla ya kuadhimisha Maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad(S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akijumuika katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A.W.yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja kushoto kwa Rais (Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khamis Haji Khamis na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Wadi akipiga fatha kabla ya kuaza kwa hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiitikia dua ikisoma na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh.Mahmoud Wadi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Kadhi Mkuu wa Zanzibare Sheikh Khamis Haji Khamis na Waziri swa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe Mohammed Ramia Abdulwawa, wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ua Maulidi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyiuka katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
SHEIKH Abubakar Said Abubakar kutoka Mji Mkongwe Wilaya ya Mjini Unguja akisoma Dua ya Barzanji wakati wa hafla ya Maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
WANANCHI wa Zanzibar wakishiriki katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
MKE wa Rais wa Zanzibaer Mama Mwanamwema Shein akiidikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya Maulidi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad(S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja kulia kwa Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma na kushoto Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe. Marine Thomas Joe. Wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.
SHEIKH Hassan Ali Kombo kutoka Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar, akisoma Khutba ya wakati wa sherehe ya kuadhimisha Maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad(S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akijumuika katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A.W.yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (kushoto kwa Rais) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khamis Haji Khamis Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar. Mhe. Mohammed Ramia Abdulwawa, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghjaribi Unguja.Mhe. Hassan Khatib Hassan, Waziri wa Vijana Michezo Sanaa na Utamaduni Mhe. Balozi Ali Karume na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali Talib na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Wadi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika kisimamo cha kumsalia Mtume Muhammad.(S.A.W) Qiyaam.
MSHAURI Mkuu wa Maulid ya (Milade Nabii Association –Zanzibar) Sheikh Sherali Champsi akitowa histora ya Jumuiya ya Malade Nabii Association, wakati wa hafla hiyo ya Maulid ya Kuadhimisha Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
WANANCHI wa Zanzibar wakishiriki katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
WANAFUNZi wa Madrasa Munawara ya kutoka Shauri Moyo Wilaya ya Mjini Unguja wakisoma Qasweeda wakati wa hafla ya Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
WANAFUNZI Jumuiya ya Maulid ya Homu ya Mtendeni Unguja wakisoma Maulid ya Homu wakati wa sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
Dk.Shein amezungumza na Wafanyakazi wa Zbc,Redio.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Habari la Utangazaji la ZBC Nd,Chande Omar Omar alipowasili katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar katika mkutano na Wafanyakazi wa ZBC Redio uliofanyika
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee alipokuwa akitoa ufafanuzi na majibu ya masuala mbali mbali yaliyoulizwa katika mkutano wa Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazaji la ZBC Redio na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katila ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar
Mtangazji wa Habari wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio Khadija Ali Hassan alipokuwa akiuliza suala wakati wa Wafanyakazi wa Shirika hilo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar
Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio wakiwa katika mkutano chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar
Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio wakiwa katika mkutano chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar leo ambapo mkutano ulizungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji (kulia) Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Mahmoud Thabit Kombo
Uzinduzi wa Vitambulisho Vipya vya Kieletroniki (SMART CARDS)
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi rasmi wa vitambulisho vipya wa Kieletroniki (SMART CARDS) vya Mzanzibar Mkaazi uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake Uzinduzi wa Kitambulisho kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi katika hafla ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitambulisho kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi Mama Mwanamwema Shein mara baada ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Kitambulisho kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maluum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir wakati wa hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitambulisho kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohamed Gharib Bilali mara baada ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akionesha kitambulisho chake kipya cha Kielektriniki (SMART CARDS) mara baada ya kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati wa Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Baadhi ya Wananchi wa waliohudhuria katika ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho vipya vya Kielektroniki (SMART CARDS) vya Mzanzibar Mkaazi uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar chini ya usimamizi wa Ofisi ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia mfano wa Kitambulisho chake kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi wakati wa Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar chini ya usimamizi wa Ofisi ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar
Mktano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu alipowasili katika viwanja vya Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar leo katika ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA)
Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu akitoa hutuba yake ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku nne wa umuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakiwa katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar JAJI Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe,Othman Chande Othman (kushoto) pamoja na Majaji na Viongozi mbali mbali wakiwa katika ufunguzi wa Mkutano wa siku nne wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar
Rais wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki Angelina Rujazana kutoka nchini RWANDA alipokuwa akitoa Salamu za Jumuiya hiyo katika Mkutano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakiwa katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa siku nne wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) ulioanza leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu (katikati) Spika wa Baraza la Wawailisi Zanzibar Zubeir Ali Maulid(wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatibu Hassan(kulia) Rais wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki Angelina Rujazana kutoka nchini RWANDA (kushoto) Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim na Makamo mwa Pili wa Rais wa zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakismama wakati wimbo wa Tifa ukipigwa katika Mkutano wa siku nne wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) kumbi wa Madinat Al Bahr Hotel,
Dk.Shein afungua maonesho ya maadhimisho ya siku ya chakula duniani viwanja vya Chamanangwe Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba , kulia Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri.
WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akitembelea banda la Maonesho la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar.(ZSTC) wakati wa hafla ya maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Afisa wa Chuo Cha Mafunzo Zaameja.Khamis Seif, wakati akitembelea maonesho hayo katika Kitali cha Shamba la Mihindi na Mtama katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, wakitembelea banda la Maonesho la Kikundi cha Ulimwengu wa Miti Mirefu, wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya ChakulaDuniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwapungia mkono Wananchi katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba wakati akitembelea maonesho ya Kilimo baada ya kuyafungua rasman leoakiwa na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri
BAADHI ya Wananchi Kisiwani Pemba wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wac Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia na kuyafungua maonesho hayo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia Lulu wakati akitembelea banda la maonesho la Kikundi cha Tujikomboe cha Makombeni Wilaya ya Mkoani Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Kamishna wa Chuo Cha Mafunzo Zanzibar.Ali Abdalla Ali, akitowa maelezo wakati akitembelea banda la maonesho la Chuo cha Mafunzo viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiuliza suali wakati akitembelea maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba akitembelea kitalu cha minazi.