State House Blog

Ufunguzi wa Masjid Istiqama Mkwajuni Mkoa Kaskazini Unguja.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Mfadhili wa Ujenzi wa Masjid Istiqama Bw.Suleiman Mohamed Yahya mara alipowasili na kufungua Msikiti huo,uliojengwa Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja 13/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kama ishara ya Uzinduzi wa Masjid Istiqama,Msikiti uliojengwa Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja,kwa nguvu za wananchi na ufadhili wa Bw.Suleiman Mohamed Yahya (wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kushoto) katika sherehe iliyofanyika sambamba na Swala ya Ijumaa 13/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) akifungua pazia kama ishara ya Uzinduzi wa Masjid Istiqama,Msikiti uliojengwa Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja, kwa nguvu za wananchi na ufadhili wa Bw.Suleiman Mohamed Yahya (wa nne kushoto) katika sherehe iliyofanyika sambamba na Swala ya Ijumaa 3/01/2023.
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu walioswali Swala ya Ijumaa sambamba na Ufunguzi wa Masjid Istiqama,Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada Ufunguzi wa Masjid hiyo 13/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa kimpongeza Ramadhan Omar Mcha Wanamadrasa waliokuwa wakisoma Qaswida kwa Kumshindikiza Ufunguzi wa Masjid Istiqama katika Kijiji cha Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja, hafla iliyofanyika leo ambapo Viongozi mbali mbali na Waumini walihudhuria katika sherehe hiyo 13/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Bw.Suleiman Mohamed Yahya akiwa Mfadhili wa Ujenzi wa Masjid Istiqama katika Kijiji cha Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo ujenzi wake umefanyika kwa kushirikiana na Nguvu za Wananchi na Mfadhili huyo 13/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine na Waumini wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kushoto)baada ya hafla ya Swala ya Ijumaa sambamba na Ufunguzi wa Masjid Istiqama katika Kijiji cha Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika 13/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada ya Swala ya Ijumaa sambamba na Ufunguzi wa Masjid Istiqama katika Kijiji cha Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo ujenzi wake ulifanyika kwa ufadhili wa Sheikh, Suleiman Mohamed Yahya na Nguvu za Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu 13/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Mfadhili wa Ujenzi wa Masjid Istiqama Bw.Suleiman Mohamed Yahya mara alipowasili na kufungua Msikiti huo uliojengwa Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja 13/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipotoa hutuba yake mara baada ya Swala ya Ijumaa sambamba na Ufunguzi wa Masjid Istiqama katika Kijiji cha Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo ujuenzi wake ulifanyika kwa ufadhili wa Sheikh, Suleiman Mohamed Yahya na Nguvu za Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam 13/01/2023

Wanafunzi wa Kidatu cha nne na Sita kukabidhiwa zawadi zao za Komputa (Laptop) na Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Komputa (Laptop) Mwanafunzi Msabaha Shaban Kassim wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba, kwa kufanya vizuri Mitihani wa Taifa ya Kidatu cha Nne mwaka 2022 na kupata daraja la Kwanza, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 11-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Komputa (laptop) Mwanafunsi wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba Kidatu cha Nne Msabaha Shaban Kassim, kwa kufanya vizuri mitihani yake ya Kidatu cha Nne mwaka 2022 na kupata Daraja la Kwanza (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Leila Mohammed Mussa na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Tanzania Mhe. Prof.Adolf Mkenda, hafdla hiyo ya kukabidhiwa Komputa kwa Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na cha Nne waliofanya vizuri Mitihani yao kwa mwaka 2022, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 11-1-2023
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Komputa Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Kidatu cha Nne Zakia Jaffar Hatib, kwa kufaulu Mtihani wake wa Taifa Kidatu cha Nne na kupata Daraja la kwanza.hafla hiyto iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu leo 11-01-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kishikwambi Afisa Mdhamani Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba Bwa.Mohammed Nassor, kwa ajili ya matumizi ya Walimu wa Skuli za Msingi na Sekondari Pemba,(kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Leila Mohammed Mussa na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Tanzania Mhe. Prof.Adolf Mkenda,wakati wa hafdla ya kukabidhiwa Komputa (Laptop)kwa Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na cha Nne waliofanya vizuri Mitihani yao kwa mwaka 2022, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akimkabidhi zawadi ya Komputa(Laptop) Mwanafunzi wa Kidatu cha Sita Skuli ya Sekondari Lumumba Mohammed Faki Hamad, kwa kufanya vizuri Mitihani yake ya Taifa mwaka 2022 na kupata Daraja la kwanza.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali waliokaa na waliosomama ni Wanafunzi Bora waliofanya vizuri Mitihani yao ya Kidatu cha Nne na Sita kwa mwaka 2022, baada ya kukabidhiwa zawadi zao Komputa (Laptop) alizowaahidi hafla hiyo iliyofanyika leo 11-1-2023 katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za Komputa (Laptop) alizowaahidi Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na cha Nne waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa mwaka 2022 na kupata Daraja la Kwanza, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwake ) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana na (kushoto kwake ) Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Tanzania Mhe. Prof. Adolf Mkenda na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Leila Mohammed Mussa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kukabidhi zawadi za Komputa (Laptop) kwa Wanafunzi wa Sekondari wa Kitadu cha Sita na cha Nne Zanzibar waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa mwaka 2022 na kupata Daraja la Kwanza, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa kukabidhi zawadi za Komputa (Laptop) alizowaahidi Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na Cha Nne waliofanya vizuri mitihani yao ya Taifa mwaka 2022 na kupata Daraja la Kwanza, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 11-1-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa kukabidhi zawadi za Komputa (Laptop) alizowaahidi Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na Cha Nne waliofanya vizuri mitihani yao ya Taifa mwaka 2022 na kupata Daraja la Kwanza, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 11-1-2023

Uzinduzi wa Diko na Soko la Samaki Malindi Unguja

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akinunua Samaki katika Diko na Soko la Samaki Malindi Unguja Wilaya ya Mjini 10-1-2023, kwa mchuuzi Bwa. Khamis Hamad Omar, baada ya kufunguliwa Soko hili na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana, wakati wa Ufunguzi wa Diko na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-1-2023, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • WASANII wa Kikundi cha Ocean Art cha Mwanakwerekwe Unguja wakitowa burudani ya igizo la Uchumi wa Buluu wakati wa ufunguzi wa Diko na Soko la Samaki Malindizi Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-1-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana, wakati wa Ufunguzi wa Diko na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-1-2023, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika mnada wa Samaki katika Diko na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-1-2023,wakinadiwa Samaki aina ya Jodari na Dalali wa Soko hilo Bwa. Ali Hassan Mchoro, samaki huyo amebarikiwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi kwa shilingi 95,000/
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika mnada wa Samaki katika Diko na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-1-2023, akinadiwa Samaki aina ya Jodari na Dalali wa Soko hilo Bwa. Ali Hassan Mchoro, samaki huyo amebarikiwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi kwa shilingi 95,000/ katika mnada huo na (kushoto kwa Rais) Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe. Yusushi Misawa, Waziri wa Uchumi wa Buluu Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zana Ahmed Said

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Viwanja vya Michezo Matumbaku Miembeni ikiwa ni shamra shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Michezo katika eneo la Matumbaku Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, viwanja hivyo vinavyojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Michezo katika eneo la Matumbaku Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,viwanja hivyo vinavyojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Michezo katika eneo la Matumbaku Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, viwanja hivyo vinavyojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Michezo katika eneo la Matumbaku Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, viwanja hivyo vinavyojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF)
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Matumbaku miembeni Wilaya ya Mjini Unguja 9-1-2023, kwa ajili ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Viwanja vya Michezo vinavyojengwa katika eneo hilo na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar(ZSSF) ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Ndg. Nassor Shaaban Ameir, akitowa maelezo ya ujenzi wa viwanja vya michezo vinavyojengwa katika eneo la uwanja wa matumbatu miembeni Wilaya ya Mjini Unguja, ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum.
  • Viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi CCM na Serikali wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023
  • Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Ndg.Nassor Shaaban Ameir (kulia) alipokuwa akizungumza kuhusiana na Ujenzi katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023
  • Vijana wa Jeshi ya Kujenga Uchumi JKU,wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia)Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemedi Suleiman Abdulla, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya ZSSF Dkt.Hudda A.Yussuf,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Saadala 09/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemedi Suleiman Abdulla, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya ZSSF Dkt. Hudda A.Yussuf,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Saadala 09/01/2023
  • Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar pamoja na Viongozi wengine wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023
  • Viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi CCM na Serikali wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kulia) akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi 09/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi  (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Ndg.Nassor Shaaban Ameir (wa tatu kushoto) wakati alipoangalia michoro ya Ujenzi wa Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ambapo viwanja hivyo vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF 09/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemedi Suleiman Abdulla (wa pili kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya ZSSF Dkt.Hudda A.Yussuf (kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zubeir Ali Maulid,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Sada Mkuya Salum (wa pili kulia) wakisimama Wimbo wa Taifa ukipigwa wakati wa kuweka jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023.
  • Viongozi mbali mbali pamoja na Wakuu wa Vikosi vya Uluinzi wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023.
  • Vijana wa Jeshi ya Kujenga Uchumi JKU, wakishangilia wakati  Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Ndg.Nassor Shaaban Ameir (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza kuhusiana na Ujenzi katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023
  • Vijana wa Jeshi ya Kujenga Uchumi JKU, wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023

Rais wa Zanzibar Dk.Mwinyi amefungua Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia na Wananchi waliofika kupata matibabu wakati wa sherehe ya  ufunguzi wa Hospitali ya  Wilaya Kitogani ya Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui. 
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-1-2023, lililojengwa kupitia fedha za UVIKO-19 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kushoto )Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Jengo la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja iliyojengwa kwa fedsha za UVIKO-19, baada ya kuifungua Hospitali hiyo leo 7-1-2023,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi Ali Said akitowa maelezo ya ujenzi wa Hospitali hiyot, wakati akitembelea jengo jipya la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kulifungua rasmin leo 7-1-2023, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (kulia) na Naibu Waziri wa Afya Mhe,Hassan Khamis Khafidh (Diaspora) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali katika  Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo aliyoifungua ambayo imejemngwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, katika sherehe za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 07/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa nne kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,Makamo wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui(wa pili kushoto) na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (wa tatu kulia) 07/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo wakati alipofungua Hospitali ya Wilaya  Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kulia) akisalimiana na  Viongozi wakati alipowasili katika sherehe ya ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya  Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.`Rashid Hadid Rashid 07/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani ya Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa tatu kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi 07/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (kulia) na Naibu Waziri wa Afya Mhe,Hassan Khamis Khafidh (Diaspora) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali katika  Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja aliyoifungua ambayo imejemngwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa  Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,katika sherehe za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 07/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui(kulia) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla wakiwa katika Sherehe za ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani ya Mkoa wa Kusini Unguja zilizofanyika ambapo wananchi wa Vijiji mbalio mbali vya Wilaya hiyo wamehudhuria katika sherehe hiyo 07/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa Hutuba yake leo katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar DK.Abdalla Juma Sadalla(Mabodi) 07/01/2023.
  • Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa hutua yake baada ya kuifungua Hospitali hiyo leo ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, 07/01/2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kulifungua Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-1-2023 lililojengwa kwa fedha za UVIKO-19 na (kushoto kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa Hutuba yake leo katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar DK.Abdalla Juma Sadalla(Mabodi)07/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa Hutuba yake leo katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar DK.Abdalla Juma Sadalla (Mabodi) 07/01/2023.
  • MUONEKANO wa Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, lililojengwa kwa Fedha za UVIKO -19, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Jengo la Ghorofa la Kisasa la Hospitali ya Wilaya ya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ambalo limejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa  Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF 07/01/2023.