Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi Waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na viongozi na wafanyakazi wa “VIGOR A TURKY’S GROUP OF COMPANIES”, katika Maulidi ya kuadhimisha Kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi jana aliwaongoza Waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na viongozi na wafanyakazi wa “VIGOR A TURKY’S GROUP…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nje ya nchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nje ya nchi na kusisitiza haja ya kwenda…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Mwinyi, leo Oktoba 23, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Burundi Jenerali Evariste Ndayishimiye aliyeongozana na Ujumbe wake

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi, leo Oktoba 23, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Burundi Jenerali Evariste Ndayishimiye aliyeongozana…

Soma Zaidi