Dk.Shein amekutana na ujumbe kutoka kituo cha Biashara Duniani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na ujumbe kutoka Kituo cha Biashara Duniani (ICT), na kueleza kuwa hatua za kutumia tasnia ya malibunifu…

Read More

Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wananchi kuendelea kuviripoti vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia katika vyombo vinavyohusika ili sheria…

Read More

Dk.Shein akabithiwa mipira

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekabidhiwa mipira na Kamati ya Ugawaji Mipira chini ya mradi wa ‘One World Football For Africa’ na kusisitiza…

Read More

Serikali ya Oman imeahidi kuiunga mkono Serikali ya Zanzibar katika sekta ya Elimu

SERIKALI ya Oman imeeleza azma yake ya kuendelea kuinga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya elimu kwa kuanzia na elimu ya juu kupitia Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA).Waziri wa Elimu ya Juu…

Read More

Maafisa na Maaskari wa vikosi vya ulinzi wameshiriki katika chakula cha mchana

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameungana na maafisa na askari wa vikosi vya Ulinzi na Usalama wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali…

Read More

Kilele cha Maadhimisho ya wiki ya uwezeshaji kiuchumi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa juhudi zinazochukuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia…

Read More

Marekani imevutiwa na mafanikio yaliopatikana katika miradi inayoiendesha hapa Zanziba

Marekani imeeleza kuvutiwa kwake na mafanikio yaliopatikana katika miradi inayoiendesha hapa Zanzibar na kuahidi kuunga mkono miradi mengine ikiwemo miradi mipya ya Changamoto ya Milenia (MCC)…

Read More

Dk.Shein amefunga mkutano wa saba wa Baraza la Biashara Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefunga mkutano wa saba wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) na kusisitiza kuwa ipo haja ya kuungwa mkono kwa sekta…

Read More