Dk.Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) kuhakikisha inavipatia maji safi na salama Vitongoji sita vilivyomo katika Shehiya za Muungoni na Kitogani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameutaka Uongozi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) kuhakikisha inavipatia maji safi na salama Vitongoji sita vilivyomo…
Read More