Zanzibar bila ya vitendo vya udhalilishaji wa wanawake na watoto inawezekana.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein amesema kuwa Zanzibar bila ya vitendo vya udhalilishaji wa wanawake na watoto inawezekana iwapo kutakuwa na ushirikiano katika kuvipiga vita vitendo…

Read More

Zanzibar itaendeleza uhusiano na ushirikiano wa kihistoria uliopo kati yake na visiwa vya Comoro

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Zanzibar itaendeleza uhusiano na ushirikiano wa kihistoria uliopo kati yake na visiwa vya Comoro hasa…

Read More

Dk.Shein amewaapisha viongozi aliowateua.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi aliowateua hapo jana kushika nyadhifa mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Hafla…

Read More

Uteuzi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mapinduzi kwa kuongeza Wizara moja zaidi, na kuwabadilisha…

Read More

Dk.Shein amekutana na Uongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na uongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kusisitiza haja ya kuendeleza umoja na mashirikiano yaliopo…

Read More

Dk.Shein ameipongeza Serikali ya Nigeria kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Serikali ya Nigeria kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya elimu na kueleza haja…

Read More

Dk.Shein Amekutana na Kamishna wa Polisi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja kwa Jeshi la Polisi kuendelea kufanya kazi zake vyema hapa Zanzibar ili kuimarisha amani na utulivu…

Read More

Dk.Shein Amezindua Jengo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kukamilika kwa ujenzi wa Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe kutatoa fursa kwa Mahakimu watakaoitumia Mahkama…

Read More