UZINDUZI WA JENGO JIPYA LA SKULI YA BIASHARA MOMBASA.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema Sekta binafsi, ikiwemo biashara zimekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya mataifa mbali mbali Duniani.
Read More