Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea zawadi iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) katika sherehe maalum ya mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi

DK.SHEIN AMEAGANA NA WATENDAJI ALIOWATEUA KATIKA NYADHIFA MBALI MBALI SERIKALINI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameagana na Watendaji aliowateua katika nyadhifa mbali mbali Serikalini na kusema kwamba hafla hiyo ni kielelezo cha…

Read More
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Pemba katika viwanja vya Kiwani Wilaya ya Mkoani katika mkut

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM KIWANI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema CCM imewaletea wananchi wa Zanzibar kiongozi mchapakazi katika nafasi ya Urais wa Zanzibar ili maendeleo yazidi…

Read More

Dk.Shen amewataka wafanyakazi wa ORMBLM kufanya kazi kwa bidii na ari ya utendaji.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapainduzi Dk. Ali Mohamed Shen amewataka wafanyakazi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pemba, kufanya kazi kwa bidii na kuongeza…

Read More

DK. SHEIN AMEWAAGA WANANCHI WA MIKOA MITANO YA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewaaga wananchi wa Zanzibar na kuwaambia kuwa Awamu ya Saba imefanya mambo mengi huku akisema kuwa anawaachia zawadi…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Alhajj Dk. Ali Mohamed  Shein, akitia ubani  kumainisha kuyafungua Maulidi ya Kuadhimisha Kuzaliwa kwa MtUME Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja ya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar

MAULIDI YA KUADHIMISHA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein jana aliwaongoza Waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na wananchi mbali mbali katika Maulidi ya kuadhimisha Kuzaliwa…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimfariji  mmoja wa wahanga wa matukio ya kupigwa katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg. Hassan Khamis Hamad, alipofika katika Hospitali ya Micheweni Pemba kuwaj

DK SHEIN AMEWATEMBELEA MAJERUHI KATIKA HOSPITALI YA MICHEWENI PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amefika hospitali ya Micheweni kwa ajili ya kuwapa pole wanachama wa CCM waliovamiwa na kupigwa huko katika kijiji…

Read More
Rais  wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazi la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya Ufunguzi wa Barabara ya Ole-Kengeja Mkoa wa Kusini Pemba ilioyojengwa na Wakala wa Barabara (ZANROAD).

UFUNGUZI WA BARABARA YA OLE - KENGEJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa barabara zinafungua milango na kuleta manufaa katika ukuaji na maendeleo ya uchumi na kijamii.

Read More
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe DK.Ali Mohamed Shein, akihutubia katika mkutano wa kampeni ya CCM ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi.

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM MICHEWENI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi wa Wilaya Micheweni na Wazanzibari kwa ujumla, kuwachagua wagombea kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM),…

Read More