Dk. Hussein Ali Mwinyi ametuma salamu za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu wanne waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyotokea katika kijiji cha Buyubi Mkoani Shinyanga
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametuma salamu za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu wanne waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani…
Soma Zaidi