Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika Mkutano wa Utekelezaji Mpango kazi kwa Kipindi cha Julai-Disemba 2019,

DK. SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA ARDHI,NYUMBA,MAJI NA NISHATI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ameeleza haja kwa uongozi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati kuendeleza uzalendo na uadilifu katika ufanyaji…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar. Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Kipindi cha Julai hadi  Disemba 2019 / 2020,

Dk.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA AFYA NA WIZARA YA BIASHARA NA VIWANDA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuna umuhimu wa kutizama upya sheria zinazosimamia mwenendo wa usalama wa chakula nchini, ili kuondokana na…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitia mchanga katika kaburi lililokuwa na  mwili wa Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Jaji Mkusa Sepetu

DK.SHEIN AMEJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAZIKO YA JAJI WA MAHKAMA KUU ZANZIBAR MKUSA SEPETU.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza mazishi ya marehemu Jaji Mkusa Isaac Sepetu yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini, Wilaya ya Magharibi…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.

DK. SHEIN AMEFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMO WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemuhakikishia kumpa mashirikiano makubwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais, Muungano na Mazingira Mussa Azzan…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Benki ya CRDB ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB Ndg. Ally Hussein Laay.

DK. SHEIN AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA BENKI YA CRDB.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja kwa Benki ya CRDB kuendelea kutoa huduma zake kwa pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Khatib Mwadin Khatib kuwa Naibu atibu Mkuu  Wizara ya Fedha na Mipango katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.

DK. SHEIN AMEWAAPISHA VIONGOZI ALIYEWATEUWA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi mbali mbali kushika nyadhifa baada ya kuwateuwa hivi karibuni.

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Kitabu cha Sheria  baada kukizindua.

MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kuheshimu kazi, majukumu na maamuzi ya Tume za Uchaguzi nchini, kwa kuzingatia kuwa taasisi hizo…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiweka udongo kuunganisha tofali kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LA MAHKAMA KUU.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imekuwa ikishughulikia sana suala la kuwandalia wafanyakazi wake mazingira mazuri na yaliyo salama ya kufanya kazi ili wananchi waweze kupata huduma kwa urahisi…

Read More