Serikali imesema itafanya kila juhudi kuhakikisha inapata fedha zilioko mikononi mwa Kampuni ya Masterlife Microfinance Ltd

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema serikali itafanya kila juhudi kuhakikisha inapata fedha zilioko mikononi mwa Kampuni ya Masterlife Microfinance…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wafanyabiashara kuhakikisha kwamba bei za bidhaa hazipandishwi kwa sababu ya mwezi mtukufu ujao wa Ramadhani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wafanyabiashara kuhakikisha kwamba bei za bidhaa hazipandishwi kwa sababu ya mwezi mtukufu ujao wa…

Soma Zaidi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Samia Suluhu Hassan ameshuhudia kuapishwa kwa Dk. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshuhudia kuapishwa kwa Dk. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hafla iliyofanyika leo Ikulu…

Soma Zaidi

Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo imekaa Jijini Dodoma chini Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula ambapo Rais wa Jamhuri ya…

Soma Zaidi

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania Mhe: Samia Suluhu Hassan ameongoza mazishi ya Hayati Dk. John Pombe Magufuli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Tanzania (JWTZ), Samia Suluhu Hassan ameongoza mazishi ya Hayati Dk. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano…

Soma Zaidi