Dk. Ali Mohamed Shein ziarani Muungano wa Visiwa vya Comoro.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein anaondoka leo jioni kwenda Muungano wa Visiwa vya Comoro kwa ziara ya siku mbili.
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein anaondoka leo jioni kwenda Muungano wa Visiwa vya Comoro kwa ziara ya siku mbili.
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao aliwateua hapo jana.Walioapishwa ni Mheshimiwa Ayoub Mohamed Mahmoud…
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kama ifuatavyo:
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amezindua mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar (ZAHILFE) na kusisisitiza dhamira…
Read MoreWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe. Issa Haji Ussi Gavu, amemtumia salamu za rambi rambi kwa Waziri anayeshughulikia Mambo ya Nje wa Oman Mhe. Yusuf bin Alawi…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amemuapisha Radhia Rashid Haroub kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja ya kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Japan hasa kwa kutambua hatua…
Read More