SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imemtumia salamu za pongezi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein .
Kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Salamu hizo za pongezi zilitumwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Li Yuanchao kwa niaba ya nchi yake, zilipongeza…
Read More