Dk.Shein amezindua ulazaji wa waya wa pili wa umeme kutoka Fumba Zanzibar hadi Ras Kiromoni DSM

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein amezindua ulazaji wa waya wa pili wa umeme kutoka Ras Fumba Zanzibar hadi Ras Kiromoni Dar-es-Salaam na kusema kuwa…

Read More

Watanzania hasa Wazanzibar wametakiwa kushiriki katika kujiandikisha ilikupata kitambulisho chaTaifa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa Watanzania hasa Wazanzibari kushiriki kikamilifu katika zoezi la kujiandikisha kwa kupata kitambuilisho…

Read More

Rwanda imevutiwa na mafanikio yaliofikiwa na Serikali ya Zanzibar katika sekta ya utalii.

RWANDA imevutiwa na mafanikio yaliofikiwa na Zanzibar katika sekta ya utalii na kueleza kuwa iko tayari kupanua wigo katika sekta hiyo ikiwa ni pamoja na kukuza ushirikiano kwenye sekta nyengine…

Read More

Waya mpya wa umeme utakaolazwa baharini kutoka Ras Fumba hadi Ras Kiromoni umewasili Zanzibar

HATIMAE waya mpya wa umeme utakaolazwa baharini kutoka Ras Fumba Zanzibar hadi Ras Kiromoni Dar-es-Salaam umewasili Zanzibar na kupokewa rasmi pamoja na kukaguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti…

Read More

Vatican imepongeza uhusiano na mashirikiano yaliopo kwa wananchi wa Zanzibar

VATICAN imepongeza uhusiano na mashirikiano yaliopo baina ya wananchi wa Zanzibar ambao wamekuwa wakiishi pamoja bila ya kujali itikadi zao za kidini hatua ambayo imekuwa chachu ya kuimarisha…

Read More

Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali wametakiwa kuongeza kasi zaidi katika utekelezaji waowa kazi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka viongozi na watendaji wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuongeza kasi zaidi katika utekelezaji wao…

Read More

Viongozi na watendaji wakuu wa SMZ wametakiwa kubadilika katika utendaji wao wa kazi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefungua semina ya viongozi na watendaji wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na kuendelea kusisitiza suala zima…

Read More

Serikali ya Cuba imepongezwa kuwa na ushirikiano wa kihistoria na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekitiw a Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, amezipongeza juhudi za Serikali ya Cuba za kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa kihistoria ikiwa ni pamoja na…

Read More