Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa akisaini kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ukarabati na ujenzi wa Hospital ya Wete Kisiwani Pemba na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abudhabi.Sheikh. Mohammed Saif

SMZ YATILIANA SAINI NA MFUKO WA MAENDELEO WA ABU DHABI.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kupitia Mfuko wa Maendeleo wa Abudhabi zimetiliana saini Mkataba wa Makubaliano (MOU) juu ya ujenzi na matengenezo…

Soma Zaidi

DK. SHEIN AMEKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI YA SERA NA UTAFITI YA SHEIKH SAUD AL QASIMI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iko tayari kushirikiana na Serikali ya Ras Al Khaimah katika kuanzisha…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh.Dk Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Kampuni ya Kimataifa ya Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia cha Ras Al Khaimah (RAK GAS).

DK.SHEIN AMETEMBELEA KIWANDA CHA UCHIMBAJI WA MAFUTA NA GESI (RAK GES).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametembelea kiwanda cha Kampuni ya Kimataifa ya Utafiti na Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia ya Ras Al Khaimah“RAK…

Soma Zaidi

DK. SHEIN AMEKUTANA NA VIONGOZI WA KAMPUNI ZA RAS AL KHAIMAH.

VIONGOZI wa Kampuniza Uwekezaji, Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenye Viwanda pamoja na Mamlaka za Vitega Uchumi za Ras Al Khaimah wameeleza azma yao ya kushirikiana na kuiunga Zanzibar ili izidi…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA MTAWALA WA RAS-AL- KHAIMAH.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na Mtawala wa Ras-Al-Khaimah Mtukufu Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi na kufanya nae mazungumzo yaliolenga…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati akiondoka Nchini

DK. SHEIN AMEONDOKA NCHINI KUELEKEA RAS AL KHAIMAH KWA ZIARA YA WIKI MOJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein anaondoka nchini leo kuelekea Ras Al Khaimah katika Umoja wa nchi za Falme za Kiarabu (UAE) kwa ziara ya wiki moja…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hotuba yake katika sherehe za maadhimisho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa  kwa Bodi ya Mapato (ZRB).

MIAKA 20 YA ZRB.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema ukusanyaji mzuri wa mapato unaofanywa na taasisi za kukusanya kodi umeiwezesha serikali kupunguza utegemezi…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.

DK. SHEIN AMEWAAPISHA WAKUU WA MIKOA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha Wakuu wa Mikoa ya Kusini Unguja na Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja aliowateua hapo jana.

Soma Zaidi