Zanzibar na Vietnam zimekubaliana kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kukuza sekta za maendeleo.

ZANZIBAR na Vietnam zimekubaliana kuimarisha uhusiano na ushirikiano katika kukuza sekta za maendeleo na uchumi huku Vietnam ikiahidi kuiunga mkono Zanzibar katika kuhakikisha inafikia malengo…

Read More

Dk.Ali Mohamed Shein ameondoka nchini kuelekea nchini Vietnam kwa ziara ya Kiserikali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein ameondoka nchini kuelekea nchini Vietnam kwa ziara ya Kiserikali kufuatia mualiko rasmi wa Kiongozi wa nchi hiyo.Katika…

Read More

Mafanikio yatapatikana kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki iwapo zitatumia vyema rasilimali zao

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa mafanikio makubwa yanaweza kupatikana katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki iwapo zitatumia vyema…

Read More

Dk.Shein ametuma salamu za pongezi kufuatia ushindi wa Rais Barack Obama wa Marekani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ametuma salamu za pongezi kufuatia ushindi wa Rais Barack Obama wa Marekani katika Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo…

Read More

Serikali ya India imetakiwa kurejesha utamaduni uliokuwa ukifanya miaka ya nyuma

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameleza haja kwa Serikali ya India kurejesha utamaduni uliokuwa ukifanya miaka ya nyuma wa kuwaleta madaktari bigwa…

Read More

Wawekezaji kutoka Hispania kuja kuekeza Zanzibar hasa katika sekta ya utalii.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewakaribisha wawekezaji kutoka Hispania kuja kuekeza Zanzibar hasa katika sekta ya utalii, kutokana na nchi hiyo…

Read More

Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Ali Mohamed Shein,amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe:Dk. Ali Mohamed Shein amemuapisha Bwana Vuai Mwinyi Mohammed kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja.

Read More

Uholanzi itazidisha uhusiano na ushirikiano kati yake na Serikali ya Zanzibar katika sekta ya utalii

UHOLANZI imeeleza azma ya kuzidisha uhusiano na ushirikiano kati yake na Zanzibar katika kuimarisha sekta ya utalii na kusisitiza kuwa tayari mashirika ya ndege kutoka nchini humo likiwemo Shirika…

Read More