Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa ushirikiano ili kujenga mazingira mazuri ikwa Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) iendelee kutoa huduma kwa wananchi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa ushirikiano unaohitajika na kujenga mazingira mazuri…
Read More