Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Bwana Said Hassan Said ameapishwa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amemuapisha Bwana Said Hassan Said, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amemuapisha Bwana Said Hassan Said, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Read MoreKwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amemteua tena MHE. SAID…
Read MoreMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Li Yuanchao amemtumia Salamu za Pongezi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuchaguliwa tena…
Read MoreVikundi vya vitatu vya Taarab jana vilitoa buradani ya aina yake ikiwa ni sehemu ya sherehe za kumpongeza Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…
Read MoreMgombea urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kupitia Chama cha Mapinduzi-CCM Dk. Ali Mohamed Shein leo ameapishwa kushika wadhifa huo kwa kipindi kingine cha miaka mitano na…
Read MoreSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inawaarifu wananchi wote kwamba siku ya Alhamisi tarehe 24 Machi, 2016 itakuwa siku ya Mapumziko ili kuwawezesha Wananchi na hasa Watumishi wa Umma kushiriki…
Read MoreMWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Mhe. Jecha Salim Jecha amemtangaza rasmi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba amechaguliwa kihalali na wananchi wa Zanzibar…
Read MoreMgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. Ali Mohamed Shein amepiga kura na kusema matarajio yake ni kuona kila mwananchi mwenye haki ya kupiga kura ataitumia fursa hiyo…
Read More