Dk.Shein ameondoka nchini kwenda nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameondoka nchini leo kwenda nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa ziara ya wiki moja kufuatia muwaliko wa viongozi…

Read More

Dk.Shein ametembelea eneo lililotengwa kwa ajili ya Mradi wa kuhifadhi mafuta na gesi asilia.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefanya ziara ya kutembelea eneo lililotengwa kwa ajili ya Mradi wa kuhifadhi mafuta na gesi asilia pamoja na ujenzi…

Read More

Hutuba ya Kilele cha Sherehe ya Mapinduzi Zanzibar January12, 2018

HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHE. DK. ALI MOHAMED SHEIN, KATIKA KILELE CHA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR, UWANJA WA AMAAN TAREHE:…

Read More

Dk.Ali Mohamed Shein ametoa msamaha kwa wanafunzi kumi na mbili (12)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa msamaha kwa wanafunzi kumi na mbili (12) ambao bado walikuwa wakiendelea kutumikia vyuo vya Mafunzo vya Unguja…

Read More

Dk.Shein:Atunuku Nishani watunukiwa 74.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewatunuku Nishani ya Mapinduzi na Nishani ya Utumishi uliotukuka watunukiwa 74.Hafla hiyo imefanyika leo katika…

Read More

Ardhi yote ya Zanzibar ni mali ya Serikali

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa kwa mujibu wa sheria ya Zanzibar tangu baada ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964 ardhi yote ya Zanzibar…

Read More

Dk.Shein afungua barabara ya Jendele-Cheju- Unguja Ukuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inafanya juhudi katika kuhakikisha inatumia wataalamu wake wazalendo…

Read More