UTEUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibr kama ifuatavyo:-
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi aliowateua hapo jana kushika nyadhifa mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Read MoreWIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepongezwa kwa kufanya kazi zake vyema katika kipindi cha miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuimarisha uhusiano na…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa suala la kupambana na rushwa lina umuhimu mkubwa katika maendeleo ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika…
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wakulima wa mwani hasa akina mama kufanya subira huku Serikali yao ikitafuta mwarobaini wa bei ya mwani ikiwa…
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi watambue kuwa kuna uhaba mkubwa wa mchanga hivi sasa hapa Zanzibar kutokana na uchimbaji mbaya wa…
Read More