Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Bwana Said Hassan Said ameapishwa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amemuapisha Bwana Said Hassan Said, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Read More

Dkt.Shein amteua Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amemteua tena MHE. SAID…

Read More

CHINA YAMTUMIA SALAMU ZA PONGEZI DK SHEIN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Li Yuanchao amemtumia Salamu za Pongezi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuchaguliwa tena…

Read More

CCM ZANZIBAR YAANDAA TAARAB RASMI KUMPOGEZA DK SHEIN

Vikundi vya vitatu vya Taarab jana vilitoa buradani ya aina yake ikiwa ni sehemu ya sherehe za kumpongeza Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…

Read More

Nitaaunda Serikali Itakayozingatia Umuhimu wa Kuwaunganisha Wananchi Wote

Mgombea urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kupitia Chama cha Mapinduzi-CCM Dk. Ali Mohamed Shein leo ameapishwa kushika wadhifa huo kwa kipindi kingine cha miaka mitano na…

Read More

Sherehe ya kumuapisha Rais Mteule wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inawaarifu wananchi wote kwamba siku ya Alhamisi tarehe 24 Machi, 2016 itakuwa siku ya Mapumziko ili kuwawezesha Wananchi na hasa Watumishi wa Umma kushiriki…

Read More

MWENYEKITI wa ZEC Mhe.Jecha Salim Jecha amemtangaza rasmi Mhe.Dk.Shein wa CCM kuwa Rais wa Zanzibar.

MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Mhe. Jecha Salim Jecha amemtangaza rasmi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba amechaguliwa kihalali na wananchi wa Zanzibar…

Read More

Wananchi wahimizwa kujitokeze kwa wingi kutumia haki yao ya kikatiba ya kupiga Kura.

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. Ali Mohamed Shein amepiga kura na kusema matarajio yake ni kuona kila mwananchi mwenye haki ya kupiga kura ataitumia fursa hiyo…

Read More