Tutalipa fidia lakini muwe na subira

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewahakikishia wananchi walioathirika na ujenzi wa barabara ya Wete-Gando na Gando-Ukunjwi kuwa watalipwa fidia lakini…

Read More

DK. Shein akutana na Mwanamfalme wa Japan.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema visiwa vya Zanzibar vimeendelea kuvutia wageni wengi kutokana na utajiri mkubwa wa historia yake na uthiri…

Read More

Rais wa Zanzibar arejea nchini kutoka Uingereza

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amerejea nchini kutoka Uingereza ambako alikuwa na ziara maalum ya wiki mbili.

Read More

DK. Shein aenda Uingereza.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameondoka nchini kwenda Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili.

Read More

Tutaendelea na jitihada za kujenga mazingira yatakayoihakikishia Zanzibar amani na utulivu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyo chini ya Mfumo wa Umoja wa Kitaifa itaendelea na jitihada…

Read More

Dk Shein amtumia salamu za pongezi Rais mpya wa Misri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia Salamu za Pongezi Rais Mpya wa Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El- Sisi kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Misri…

Read More

Madras zitumike kuimarisha maadili na umoja miongoni mwa Waislamu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewakumbusha waumini wa dini ya kiislamu kuendeleza utamaduni wa kuzitumia madrasa kuwa kitovu cha kuimarisha…

Read More