Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa kutafakari mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika kipindi cha miaka 29 tangu mfumo wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa kuanzishwa hapa nchini
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa kutafakari mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika kipindi cha miaka 29 tangu mfumo…
Read More