Dk.Shein akutana na Uongozi wa Ofisi yake
OFISI ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi imeeleza kuwa miongozo na maelekezo inayoyapata kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein imekuwa…
Read MoreOFISI ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi imeeleza kuwa miongozo na maelekezo inayoyapata kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein imekuwa…
Read MoreOFISI ya Makamu wa Pili wa Rais imeeleza kuwa Dira yake kubwa ni kuwa na Serikali yenye kutoa huduma bora kwa jamii na yenye muhimili mzuri wa uchumi, umoja na maendeleo endelevu
Read MoreWIZARA ya Kilimo na Maliasili na Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu,Baraza la Mainispaa Zanzibar, Mabaraza ya miji Pemba na Hamlashauri zote za Wilaya zimetakiwa kushirikiana katika kuimarisha…
Read MoreOFISI ya Makamu wa Kwanza wa Rais imemuahidi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kuwa itashirikiana nae katika kusimamia majukumu yake kwa uadilifu na…
Read MoreWizara ya Mifugo na Uvuvi imeeleza kuwa sekta ya uvuvi hivi sasa imezidi kuimarika baada ya wananchi wengi kushajiika na kuanza kufuga mazao ya baharini kwenye maeneo yao wanayoishi.Aidha, Wizara…
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Balozi wa Ireland nchini Tanzania Bi Fionnuala Gilsenan na kumueleza hatua zinazochukuliwa na…
Read MoreWIZARA ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto imeeleza kuwa inaifanyia kazi Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii ili kutekeleza lengo la kuwapatia huduma wananchi wote wanaostahili…
Read MoreWIZARA ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika imepongeza juhudi za maendeleo zinazochukuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinudizi Dk. Ali Mohamed Shein huku ikieleza…
Read More