Dk.Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kuwa na mipango bora ya matumizi ya ardhi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kuwa na mipango bora ya matumizi ya ardhi itakayobainisha maeneo…

Read More

Dk.Mwinyi amesema Mjadala wa Uwekezaji wa ‘Big Breakfast’ ni muhimu sana kwa Taifa kwa Kuzingatia athari za kiuchumi na kijamii zilizojitokeza kutokana na kuwepo kwa janga la Corona Duniani.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Mjadala wa Uwekezaji wa ‘Big Breakfast’ ni muhimu sana kwa Taifa kwa Kuzingatia athari za kiuchumi na…

Read More