Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka walioajiriwa kufanya kazi ipasavyo na kinyume yake watakuwa wanafanya dhulma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba kazi ni ibada hivyo amewataka wale wote walioajiriwa kufanya kazi watekeleze jukumu hilo ipasavyo…
Read More