Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja ya wananchi kudumisha amani na utulivu uliopo nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja ya wananchi kudumisha amani na utulivu uliopo nchini, kwa kigezo kuwa ndio msingi wa maendeleo…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Viongozi na watendaji wa Wizara na Idara za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutekeleza wajibu wao katika kusimamia mifumo ya ukusanyaji na matumizi ya fedha

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Viongozi na watendaji wa Wizara na Idara za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutekeleza wajibu wao katika…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi ameupongeza ujio pamoja na azma ya Muigizaji Nyota wa Filamu za Kihindi, Sanjay Dutt ya kutaka kuekeza sambamba na kuwa Balozi wa kuitangaza Zanzibar Kiutalii

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza ujio pamoja na azma ya Muigizaji Nyota wa Filamu za Kihindi, Sanjay Dutt ya kutaka kuekeza sambamba na…

Read More