Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kuwepo kwa Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF), ni njia moja wapo ya kuukuza na kuutangaza utalii pamoja na urithi wa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kuwepo kwa Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF), ni njia moja wapo ya kuukuza na kuutangaza…
Read More