Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuifuatilia kwa karibu Mfuko wa Maendeleo ya jamii Tasaf na Mkurabita.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuifuatilia kwa karibu mipango ya Mfuko wa Maendeleo ya…
Read More