Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetiliana saini Hati ya Maelewano (MOU) na Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imetiliana saini Hati ya Maelewano (MOU),kati yake na Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman inayohusu Mpango Mkuu wa Ujenzi wa Bandari huko Mangapwani/Bumbwini.Kwa mujibu…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Nane itakuja na ubunifu wa kutatua changamoto katika sekta ya elimu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Nane itakuja na ubunifu wa kutatua changamoto katika sekta ya elimu ikiwa ni pamoja…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa kuimarisha amani na kuilinda mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa kuendelea na kazi kubwa ya kuimarisha amani na kuilinda…

Read More