Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameivunja Bodi ya Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO) kuanzia leo tarehe 20 Agosti, 2021.
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Zanzibar(ZIC) kuanzia tarehe 18 Agosti, 2021 Na kumteuwa…
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Agosti 16, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman aliyemaliza muda wa uwakilishi nchini Tanzania…
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Uviko-19, akibainisha kuwa mbali na ugonjwa…
Read More