Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema wakati umefika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki kufanyakazi kwa karibu na wananchi, ili waweze kutambua umuhimu…
Read More