Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa muda mrefu kati ya Zanzibar na Serikali ya Jamuhuri ya Msumbuji
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa muda mrefu uliopo kati ya Zanzibar na Serikali ya Jamuhuri ya Msumbuji.Dk.…
Read More